Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #21
Gentleman,Mkuu unalipwa kiasi gani cha Fedha kuisifia CCM ???
Inaonekana unavuta mkwanja mzito sana.
Mimi nipo tayari kuisifia CCM na Samuya MUAJI ukinijulisha malipo yako hata Pm mkuu.
kama mwanasiasa mwandamizi na mwanadiplomasia mbobevu,
daima huwa najieleza, nachambua na kufafanua mambo mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi free bila malipo yoyote yale kwa faida ya wadau wa siasa JF,
sihitaji malipo wala shukrani kutoka kwa mtu au taasisi yoyote ya ile ndani au nje ya nchi.
sisifii chama chochote cha siasa wala mtu awaye yeyote bali hua naandika ukweli mtu kwenye mambo ya msingi tu.
usiache kunifuatilia JF ili hatimae ukuze uelewa na ufahamu wako zaidi na zaidi, right?