PreGE2025 CCM itachaguliwa tena 2025 kwa sababu ya huduma ilizozifikisha kwa wananchi na sio tume, polisi wala katiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Yusufu R H Sabura

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2020
Posts
796
Reaction score
918
Naam zingatia mada tajwa hapo juu,

Salaam,

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Sisi wataalamu wa hizi kazi tunafahamu kwamba, ili chama cha siasa kiweze kuendelea na kibaki kuongoza dola ni jambo moja tu itabidi lifanyike, nalo ni huduma za kijamii ambazo serikali itakuwa imepeleka kwa wananchi katika kipindi cha baada na kabla ya uchaguzi.

Nipende kutumia fursa hii kukujuza ndugu mwananchi kuwa, hakuna chama duniani, hata kingetumia vyopa, vifaru na nyuklia kubaki madarakani huku kikiwa hakitoi huduma vyema kwa wananchi wake halafu kikaendelea kuwepo. Hakipo, na kikiwepo basi hakiwezi kuwa na maisha marefu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chama Cha Mapinduzi kingekuwa hakileti huduma za kijamii mtaani basi kingetolewa madarakani na wananchi wenyewe (sio kwa kutangazwa kushindwa uchaguzi na tume) tangu mwaka 1995 tulipoanza mbio za vyama vingi.

Hivyo ni kusema kwamba, uhai na mdundo wa kisiasa wa Chama Cha Mapinduzi unaouona leo ni matokeo ya huduma za kijamii ambazo chama hicho kimeziwasilisha kwa wananchi.

Yeyote yule, hatoweza kuwashawishi wananchi kukipiga chini Chama Cha Mapinduzi eti kwa kasoro tu ambazo chama chochote cha siasa kingeshika dola kingekuwa nazo. Ikiwa chama hicho kina kasoro, na haziwezi kukosa, tutazifanyia kazi ruwayda ruwayda yaani taratiibu taratiibu.

Ujenzi wa taifa na chama hautosimama hadi dunia itakaposimama, changamoto mpya zitaendelea kuwepo hadi dunia itakaposimama, linapobainika tatizo ama changamoto ya kimaendeleo hiyo itaongezwa tu kwenye list ya mambo yanayohitaji Suluhu na haiwezi kutambulika kama a disqualifying factor kwa Chama Cha Mapinduzi. never, ever, forever.

Ni uongo kudhania kwamba, pale inapotokea changamoto eti Chama Cha Mapinduzi hawapendi kutekeleza jambo fulani au ndio wasababishi, ili tatizo lipate Suluhu ni lazima liwepo kwanza, Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kulihudumia taifa hili mpaka kiyama kitakaposimama, na hakitashinda uchaguzi kwa kutegemea tume, polisi wala Katiba ila ni huduma za kiraia zinazowafikia wananchi.

Kwa Bahati mbaya nimekosa muda wa kuambatanisha data za tafiti za kisomi zinazofungamana na andiko langu, hata hivyo niwaombe wale wenye angalau orodha ya miradi iliyotekelezwa na Chama tangu 2020 waipaste hapa ili tujue tulipo na tunapoelekea.

[email protected]
 
Kwa Bahati mbaya nimekosa muda wa kuambatanisha data za tafiti za kisomi zinazofungamana na andiko langu,

[email protected]
Umesahau kuweka na namba ya simu.
163192.jpg
 
Halafu wananchi wote kipato cha mtu mmoja mmoja kiko juu sana wote wana mudu maisha, hakuna tena mikopo kausha damu kwasasa wananchi wote wanaishi kwa furaha tena kwa mafanikio

Kumudu maisha ni uwezo wa binadamu kuagiza chochote bila hata kuuliza bei unakihitaji unanunua hakuna kulialia

The good leadership has improved individual income to afford life, no more embaraasing loans and all citizens are leaving in harmony
 
Naam zingatia mada tajwa hapo juu,

Salaam,

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Sisi wataalamu wa hizi kazi tunafahamu kwamba, ili chama cha siasa kiweze kuendelea na kibaki kuongoza dola ni jambo moja tu itabidi lifanyike, nalo ni huduma za kijamii ambazo serikali itakuwa imepeleka kwa wananchi katika kipindi cha baada na kabla ya uchaguzi.

Nipende kutumia fursa hii kukujuza ndugu mwananchi kuwa, hakuna chama duniani, hata kingetumia vyopa, vifaru na nyuklia kubaki madarakani huku kikiwa hakitoi huduma vyema kwa wananchi wake halafu kikaendelea kuwepo. Hakipo, na kikiwepo basi hakiwezi kuwa na maisha marefu.

Chama Cha Mapinduzi kingekuwa hakileti huduma za kijamii mtaani basi kingetolewa madarakani na wananchi wenyewe (sio kwa kutangazwa kushindwa uchaguzi na tume) tangu mwaka 1995 tulipoanza mbio za vyama vingi.

Hivyo ni kusema kwamba, uhai na mdundo wa kisiasa wa Chama Cha Mapinduzi unaouona leo ni matokeo ya huduma za kijamii ambazo chama hicho kimeziwasilisha kwa wananchi.

Yeyote yule, hatoweza kuwashawishi wananchi kukipiga chini Chama Cha Mapinduzi eti kwa kasoro tu ambazo chama chochote cha siasa kingeshika dola kingekuwa nazo. Ikiwa chama hicho kina kasoro, na haziwezi kukosa, tutazifanyia kazi ruwayda ruwayda yaani taratiibu taratiibu.

Ujenzi wa taifa na chama hautosimama hadi dunia itakaposimama, changamoto mpya zitaendelea kuwepo hadi dunia itakaposimama, linapobainika tatizo ama changamoto ya kimaendeleo hiyo itaongezwa tu kwenye list ya mambo yanayohitaji Suluhu na haiwezi kutambulika kama a disqualifying factor kwa Chama Cha Mapinduzi. never, ever, forever.

Ni uongo kudhania kwamba, pale inapotokea changamoto eti Chama Cha Mapinduzi hawapendi kutekeleza jambo fulani au ndio wasababishi, ili tatizo lipate Suluhu ni lazima liwepo kwanza, Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kulihudumia taifa hili mpaka kiyama kitakaposimama, na hakitashinda uchaguzi kwa kutegemea tume, polisi wala Katiba ila ni huduma za kiraia zinazowafikia wananchi.

Kwa Bahati mbaya nimekosa muda wa kuambatanisha data za tafiti za kisomi zinazofungamana na andiko langu, hata hivyo niwaombe wale wenye angalau orodha ya miradi iliyotekelezwa na Chama tangu 2020 waipaste hapa ili tujue tulipo na tunapoelekea.

[email protected]
Leo Nataka Ubaki tuwekeane Hoja mezani Kama Hutojali Naomba Ubaki
 
well done Chama Cha Mapinduzi,

well done wananchi wote Tanzania 🐒
 
Tunaishi mitaa inatiririsha maji taka na kipindupindu kibao hasa maeneo ya kunduchi, mbezi beach/jogoo, sinza. nk. serikali ikumbuke kwamba ukiweka mazingira vyema unazuia magonjwa.
 
CCM haichaguliwi na wananchi, na wala haitegemei kura ya mtu yegote. Tegemeo kubwa la CCM ni shetani:

Kutumia polisi Kuua watu
Kutegemea polisi Kuteka watu
Kutegemea polisk katika Kuwapoteza watu

Kuwategemea wakurugenzi mashtani kuoba kura.

CCM ni mfano mzuri wa namna sgetani anavyofanya kazi.
 
Naam zingatia mada tajwa hapo juu,

Salaam,

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Sisi wataalamu wa hizi kazi tunafahamu kwamba, ili chama cha siasa kiweze kuendelea na kibaki kuongoza dola ni jambo moja tu itabidi lifanyike, nalo ni huduma za kijamii ambazo serikali itakuwa imepeleka kwa wananchi katika kipindi cha baada na kabla ya uchaguzi.

Nipende kutumia fursa hii kukujuza ndugu mwananchi kuwa, hakuna chama duniani, hata kingetumia vyopa, vifaru na nyuklia kubaki madarakani huku kikiwa hakitoi huduma vyema kwa wananchi wake halafu kikaendelea kuwepo. Hakipo, na kikiwepo basi hakiwezi kuwa na maisha marefu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chama Cha Mapinduzi kingekuwa hakileti huduma za kijamii mtaani basi kingetolewa madarakani na wananchi wenyewe (sio kwa kutangazwa kushindwa uchaguzi na tume) tangu mwaka 1995 tulipoanza mbio za vyama vingi.

Hivyo ni kusema kwamba, uhai na mdundo wa kisiasa wa Chama Cha Mapinduzi unaouona leo ni matokeo ya huduma za kijamii ambazo chama hicho kimeziwasilisha kwa wananchi.

Yeyote yule, hatoweza kuwashawishi wananchi kukipiga chini Chama Cha Mapinduzi eti kwa kasoro tu ambazo chama chochote cha siasa kingeshika dola kingekuwa nazo. Ikiwa chama hicho kina kasoro, na haziwezi kukosa, tutazifanyia kazi ruwayda ruwayda yaani taratiibu taratiibu.

Ujenzi wa taifa na chama hautosimama hadi dunia itakaposimama, changamoto mpya zitaendelea kuwepo hadi dunia itakaposimama, linapobainika tatizo ama changamoto ya kimaendeleo hiyo itaongezwa tu kwenye list ya mambo yanayohitaji Suluhu na haiwezi kutambulika kama a disqualifying factor kwa Chama Cha Mapinduzi. never, ever, forever.

Ni uongo kudhania kwamba, pale inapotokea changamoto eti Chama Cha Mapinduzi hawapendi kutekeleza jambo fulani au ndio wasababishi, ili tatizo lipate Suluhu ni lazima liwepo kwanza, Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kulihudumia taifa hili mpaka kiyama kitakaposimama, na hakitashinda uchaguzi kwa kutegemea tume, polisi wala Katiba ila ni huduma za kiraia zinazowafikia wananchi.

Kwa Bahati mbaya nimekosa muda wa kuambatanisha data za tafiti za kisomi zinazofungamana na andiko langu, hata hivyo niwaombe wale wenye angalau orodha ya miradi iliyotekelezwa na Chama tangu 2020 waipaste hapa ili tujue tulipo na tunapoelekea.

[email protected]
Nyinyi tumeisha waelekeza Sana lakini hamuelewi ngoja tutumie lugha ngumu ngumu.

WEWE MTOA HII TREAD UTAKUA UNAWASHWA WASHWA HILO TUNDU LAKO LA CHOONI.
 
Huyu atakuwa ni Rashda Zunde Mzee wa kumwaga uharo hapa jukwaani.
 
Back
Top Bottom