mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,490
- 2,986
Zaidi ya miaka mia kutoka sasa si ni sawa na forever kwetu?
So maumivu yaendeleeSo what?
Ok sawaZaidi ya miaka mia kutoka sasa si ni sawa na forever kwetu?
Sawa sawa
Huu ni ukweli mchungu ambao wasiopenda ukweli, hawataki kuupokea na kuukubali, sisi wasema kweli, tunaendelea kuusema ukweli huu kwa kuwashauri Watanzania Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.Zaidi ya miaka mia kutoka sasa si ni sawa na forever kwetu?
Unajua kwanini? Jamaa ni wazoefu na wajanja sana kupita maelezo, ona mpima samaki kwa kura anavyotayarishwa.
Vineno vineno, viugomvi ugomvi vitapamba moto hatimae atatimliwa na upande ule watampokea kwa mikono miwili na hatimae kumsimamisha kama mgombea na shujaa hatimaye kitakachofuata ni historia itaendelea kujirudia.
Huu ni ukweli mchungu ambao wasiopenda ukweli, hawataki kuupokea na kuukubali, sisi wasema kweli, tunaendelea kuusema ukweli huu kwa kuwashauri Watanzania Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Hili la CCM kutawala milele, nilipoelezwa mwanzo na huyu Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!. niliona nikama ndoto!.
Nikaja kufanya research yangu mwenyewe kuhusu CCM, CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
Na mwisho nikajiuliza kuhusu mbinu inazotumia kushinda uchaguzi nikajigundua CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
Huo ndio ukweli wenyewe!.
P
Mkuu Malafyale , tuna wana JF wa aina mbili, wishful thinkers na realists, mimi ni realist na huo ndio ukweli wenyewe halisi!.Kwa nn mkongwe unapindisha pindisha mambo hausemi ukweli?
Nitakuelewa tu ukiniambia kama CCM itaendelea kutawala milele kama tume ya uchaguzi itaendelea kuwa hii ya Kailima anaye teuliwa na Rais Samia na kusimamia chaguzi ambazo Rais Samia anagombea.
Katibu wa NEC Kailima anaweza fukuzwa siku yyt Rais Samia akiamua.
Mengine kama CCM itaendelea kutawala milele ni porojo tu
Unajua kwanini? Jamaa ni wazoefu na wajanja sana kupita maelezo, ona mpima samaki kwa kura anavyotayarishwa.
Vineno vineno, viugomvi ugomvi vitapamba moto hatimae atatimliwa na upande ule watampokea kwa mikono miwili na hatimae kumsimamisha kama mgombea na shujaa hatimaye kitakachofuata ni historia itaendelea kujirudia.
Hapanaaa, maana yangu ni kwamba cmc haikubali upinzani upate mgombea sahihi,Kwa hiyo una maana ma DED wanao teuliwa na Rais Samia wataendelea kusimamia chaguzi za Tanzania ambazo Rais Samia ni mgombea kwa miaka 100 ijayo?
Au una maana gani?
Sawa mwelevu,
Hakika, na wala haitatokeaCCM ni makini haijawahi kutokea
Hii kitu ni mbaya sanaUnajua kwanini? Jamaa ni wazoefu na wajanja sana kupita maelezo, ona mpima samaki kwa kura anavyotayarishwa.