CCM itaendelea kutawala zaidi ya miaka mia ijayo

CCM itaendelea kutawala zaidi ya miaka mia ijayo

Na
Mkumbuka marehemu komba ,miaka kama hii iliyobakia uchaguzi na toti lazima kieleweke
 
Dalili kubwa ya CCM kuweza kuondoka madarakani, ni pale Rais aliyetegemea kutawala milele alipofariki akiwa madarakani.
 
Unajua kwanini? Jamaa ni wazoefu na wajanja sana kupita maelezo, ona mpima samaki kwa kura anavyotayarishwa.

Vineno vineno, viugomvi ugomvi vitapamba moto hatimae atatimliwa na upande ule watampokea kwa mikono miwili na hatimae kumsimamisha kama mgombea na shujaa hatimaye kitakachofuata ni historia itaendelea kujirudia.
In Lemutuz voice
 
Back
Top Bottom