CCM itakaa madarakani milele kwa sababu ya upinzani dhaifu

CCM itakaa madarakani milele kwa sababu ya upinzani dhaifu

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.

Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.

Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.
 
Sababu ya ccm kukaa madarakani milele ni hiyo TU? Unasema wapinzani ila umemtaja mmoja TU (mbowe).na unashauri atolewe😂.wenye akili watakuelewa kichaka ulichomo🤣🤣
Huyo ni mfano ambaye anacheo na ni mwana ccm wapo wadogo kibao pia
 
Back
Top Bottom