CCM itakaa madarakani milele kwa sababu ya upinzani dhaifu

Kwa mfumo waliyojiwekea huo ndiyo unawafanya wakae madarakani muda mrefu
Ushaambiwa chama+serikali
😄
Ila nature tu itakuja kuwatoa hawa

Ova
 
Vojana aina ya Luka wanaongezeka kwa kasi sana msimu huu.
 
Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama ccm hakitotoka madarakani sababu. Moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani Ya hivyo vyama vya upinzani Kuna wenyekiti wa vyama ambao ni ccm damu Sasa fikiria kama mpinzani ni ccm damu je hiyo ccm Kuna dalili ya kutoka kifupi nyie chadema mtoeni mbowe hapo ni ccm damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele
Hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Usajili mpya peneza kazini .
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha.
Ni kweli ila haya ya CCM haya ncha
Unajidanganya bure.

Hata Rais wa zamani wa Zaire (sasa hivi Congo DR) Dikteta Mobutu Seseseko aliwahi kuwatangazia Wananchi wote wa Zaire na dunia yote kabisa kwamba yeye Mobutu ni 'Rais wa maisha' nchini Zaire, kwa hiyo hana Mpango wowote ule wa kustaafu Cheo Cha u-Rais na wala Serikali yake haina mpango wa kuondoka madarakani.
 
Hapa ni tanzania sio congo mzee utaishia kupiga kelele mtandaoni ila CCM hamna mtu wa kuwatoa pale juu
 
Sisiemu haitakuja kutolewa na wapinzania kwa box la kura ila itatolewa nanwananchi kwa dhuluma na haii mbaya ya maisha wataondoka kwa aibu kubwa sana shida zitakuja kuunganisha watu watakua na nguvu ya ajabu haitazuilika endeleeni kuwachukulia poa.
 
Sisiemu haitakuja kutolewa na wapinzania kwa box la kura ila itatolewa nanwananchi kwa dhuluma na haii mbaya ya maisha wataondoka kwa aibu kubwa sana shida zitakuja kuunganisha watu watakua na nguvu ya ajabu haitazuilika endeleeni kuwachukulia poa
Wananchi hao watatoka nchi Gani kuja kuitoa hiyo CCM wakati wao wanaipenda Kila sehemu nguo za kijani na njano mpaka kwenye bendera ya nchi wamewekewa rangi hizo
 
Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.

Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.

Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.
Kwa sababu democrasia ilikuja kwa njia isiyokuwa ya kidemokrasia so CCM itabaki hadi kiyama
Kama huna D mbili huwez kuelewa
 
Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.

Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.

Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.
Sasa kama upinzani unaongozwa na walifrli darasani kama Mzee Mbowe na Godbless Lema unategemea kweli upinzani uweze kushindana na CCM?
 
Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.

Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.

Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.
Upinzani imara unapaswa kuwaje?
Mbowe ana kila kitu, anawasaidia maskini , hamtaki, endelee kulipa tozo kwa maendelelo yenu.
 
Mbowe hasaidii masikini ila anjisaidia mwenyewe na maisha yake hamna mtu anaemsaidia alishasemaga chadema ikishindwa 2015 anaacha kuwa mwanasiasa vipi mbona hajaacha kiufupi ni muongo muongo tu
 
Back
Top Bottom