Kwa sasa chama cha siasa hakiwezi kuiondoa CCM madarakani, jamii ndiyo inaweza kuiondoa CCM madarakani, kwasababu ya tabia ya unyumbu, (kuahirisha kufikiri kizalendo), a.k.a kujizima data, washika tonge wameamua kujizima data, yaani kuutukuza unyumbu kwaajili ya kuendesha maisha yao ya kila siku.
Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), mfano hai kuna mdau alijieleza vizuri kwamba yeye ni mwamba kwa safari za maporini, ajibiwa kwa propaganda, (kwa kuahirisha kufikiri kizalendo), alienda mwenyewe maporini kuchimba dawa hakuna aliye nyuma