Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Japo ni mchungu lakini ndio ukweli wenyewe wa mambo. Tanzania hatuna any serious opposition, hivyo CCM itatawala milele. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.
Tanzania hatuna upinzani wa maana Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe
P