CCM itakaa madarakani milele kwa sababu ya upinzani dhaifu

CCM itakaa madarakani milele kwa sababu ya upinzani dhaifu

Tatizo sio upinzani, tatizo ni upumbavu wa Watanzania.

Kenya vijana wadogo kabisa wamekataa upumbavu unaofanywa na serikali mpaka Rais Ruto ame surrender.

Vijana wa Tanzania tuko busy na ngono, pombe, kubeti na ubishani wa nani zaidi kati ya Simba na Yanga, Diamond na Alikiba.

Hapo utawalaumu wapinzani bure. Tatizo ni mentality za Watanzania.
 
Kwanini usiingie wewe barabarani na familia Yako Ili vijana tuone mfano
 
Najua kuwa andunje msigwa yuko CCM sasa sijui hoja yako iko wapi ndiyo maana nasema wewe ni mwezi mchanga.
Hoja yangu ukiwa mwanachama wa upinzani ni mjinga sababu mwenyekiti ccm damu halafu unaenda kumsikiliza mnafki Bora usifuatilir siasa ushabikie simba na yanga sababu zinatupa furaha
 
Ni ngumu,la sivyo TZ itachafuka....labda wabadilike
 
Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama ccm hakitotoka madarakani sababu. Moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani Ya hivyo vyama vya upinzani Kuna wenyekiti wa vyama ambao ni ccm damu Sasa fikiria kama mpinzani ni ccm damu je hiyo ccm Kuna dalili ya kutoka kifupi nyie chadema mtoeni mbowe hapo ni ccm damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele

Haiwez kukaa milele...tunasubir kimvua kiache kunyesha tuamke...tunaendelea kulala
 
Back
Top Bottom