Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Ndio maana wanachukua watu kutoka Upinzani na kuwafanya viongozi waoCCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
Soon andunje Msigwa naye atapata kitengo ,mazwazwa wafia chama wanabaki midomo wazi.Ndio maana wanachukua watu kutoka Upinzani na kuwafanya viongozi wao
Hawana Jipya wale,Msigwa atapewa Jimbo lake pale Iringa na unaibu waziri mambo yaende.Kina Lucas Mwashambwa watabaki mikia waziSoon andunje Msigwa naye atapata kitengo ,mazwazwa wafia chama wanabaki midomo wazi.
Endelea kusema hapana ukiwa jamii forum
Naelewa ndio maana nikaandikaUnaelewa maana ya Milele? 😂😂
Huyo ni mfano ambaye anacheo na ni mwana ccm wapo wadogo kibao piaSababu ya ccm kukaa madarakani milele ni hiyo TU? Unasema wapinzani ila umemtaja mmoja TU (mbowe).na unashauri atolewe😂.wenye akili watakuelewa kichaka ulichomo🤣🤣
Ndio maana nikasema kitakaa milele sababu wapumbavu ndio wapiga kuraCCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
Kwahiyo msigwa ulikua unajua ni chadema aisee 🤣🤣🤣🤣Soon andunje Msigwa naye atapata kitengo ,mazwazwa wafia chama wanabaki midomo wazi.
Wewe dish limeyumba nakupuuza tu.Kwahiyo msigwa ulikua unajua ni chadema aisee 🤣🤣🤣🤣
Endelea kupiga kelele siasa ujaijua wewe kama unadhani msigwa ni chadema hahahahaWewe dish limeyumba nakupuuza tu.
Najua kuwa andunje msigwa yuko CCM sasa sijui hoja yako iko wapi ndiyo maana nasema wewe ni mwezi mchanga.Endelea kupiga kelele siasa ujaijua wewe kama unadhani msigwa ni chadema hahahaha