Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo.
Huku nje wengi wa wananchi ni waelewa sana wengine ni Maprofesa, PhDs na nakadhalika wameishauri Serikali uupitie tena mkataba huu kwa manufaa ya nchi.
Kutokana na mkataba huu na kama Serikali ya CCM haitasikiliza mawazo ya wananchi kuhusu mkataba huu basi ijue wazi huko mbele siyo kuzuri. Bado tuna muda Mkataba huu urejewe upya vinginevyo unaweza kuitoa CCM madarakani.