Hizo ni hisia zako tu, CCM imefanya mabaya zaidi ya hilo unalo semea ila bado iko madarakani, CCM haiko madarakani kwa kura za wananchi hapo unajidanganya, na hili la bandari litapita kama mengine yalio pita tu.Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo. Huku nje wengi wa wananchi ni waelewa sana wengine ni Maprofesa, PhDs na nakadhalika wameishauri Serikali uupitie tena mkataba huu kwa manufaa ya nchi. Kutokana na mkataba huu na kama Serikali ya CCM haitasikiliza mawazo ya wananchi kuhusu mkataba huu basi ijue wazi huko mbele siyo kuzuri. Bado tuna muda Mkataba huu urejewe upya vinginevyo unaweza kuitoa CCM madarakani.
Nasisitiza CCM haiko madarakani kwa kura cha wananchi. Wote tumeshuhudia Dr. Slaa na wengine walivyoshinda lakini walipokonywa ushindi.Hizo ni hisia zako tu, CCM imefanya mabaya zaidi ya hilo unalo semea ila bado iko madarakani, CCM haiko madarakani kwa kura za wananchi hapo unajidanganya, na hili la bandari litapita kama mengine yalio pita tu.
Sio kwamba ni wasahulifi ila changamoto zinazo tukabili ni nyingi kuliko hilo la bandari ambalo halikututulie matatizo ya kila siku.Kwa bahati mbaya watz ni wasahaulifu sana mpaka mwaka 2025 watakuwa hawakumbuki kitu wataanza iyenaiyena kuisupport misisiyemu
Sio kweli. Ni chaguzi ngapi wanashinda kwa bao la mkono? Usiwachukulie poa watanzaniaKwa bahati mbaya watz ni wasahaulifu sana mpaka mwaka 2025 watakuwa hawakumbuki kitu wataanza iyenaiyena kuisupport misisiyemu
Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo.
Huku nje wengi wa wananchi ni waelewa sana wengine ni Maprofesa, PhDs na nakadhalika wameishauri Serikali uupitie tena mkataba huu kwa manufaa ya nchi.
Kutokana na mkataba huu na kama Serikali ya CCM haitasikiliza mawazo ya wananchi kuhusu mkataba huu basi ijue wazi huko mbele siyo kuzuri. Bado tuna muda Mkataba huu urejewe upya vinginevyo unaweza kuitoa CCM madarakani.
Kwa hiyo kama hawatoki kwa kura, wanataka kwenda kwa nini?Nasisitiza CCM haiko madarakani kwa kura cha wananchi. Wote tumeshuhudia Dr. Slaa na wengine walivyoshinda lakini walipokonywa ushindi.
Huu mkataba kuvuja ni kusudi la MUNGU. Sasa ole ni wao. Itampendeza Mungu kufanya yake Maana ameshatimiza kusudi la kuwafikishia ujumbe wa onyo.Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo.
Huku nje wengi wa wananchi ni waelewa sana wengine ni Maprofesa, PhDs na nakadhalika wameishauri Serikali uupitie tena mkataba huu kwa manufaa ya nchi.
Kutokana na mkataba huu na kama Serikali ya CCM haitasikiliza mawazo ya wananchi kuhusu mkataba huu basi ijue wazi huko mbele siyo kuzuri. Bado tuna muda Mkataba huu urejewe upya vinginevyo unaweza kuitoa CCM madarakani.
Hata hapo tulipofika CCM hawafai kabisa waondoke.Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo.
Huku nje wengi wa wananchi ni waelewa sana wengine ni Maprofesa, PhDs na nakadhalika wameishauri Serikali uupitie tena mkataba huu kwa manufaa ya nchi.
Kutokana na mkataba huu na kama Serikali ya CCM haitasikiliza mawazo ya wananchi kuhusu mkataba huu basi ijue wazi huko mbele siyo kuzuri. Bado tuna muda Mkataba huu urejewe upya vinginevyo unaweza kuitoa CCM madarakani.
Mkataba wakitapeii wa DPWORLD wala hauhitaji uwe profesa unahitaji 'Social inferences'Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo.
Huku nje wengi wa wananchi ni waelewa sana wengine ni Maprofesa, PhDs na nakadhalika wameishauri Serikali uupitie tena mkataba huu kwa manufaa ya nchi.
Kutokana na mkataba huu na kama Serikali ya CCM haitasikiliza mawazo ya wananchi kuhusu mkataba huu basi ijue wazi huko mbele siyo kuzuri. Bado tuna muda Mkataba huu urejewe upya vinginevyo unaweza kuitoa CCM madarakani.
Wananchi wa wapi mkuu, huku uraiani?!!!!! Au unamaanisha wananchi hawa 20 wa jf?!!!!Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo.