CCM jaribuni kutumia akili na busara kuelewa maoni ya upinzani. Kuhoji sio kupinga

CCM jaribuni kutumia akili na busara kuelewa maoni ya upinzani. Kuhoji sio kupinga

Jinga nyie fast jet ilikuwa inaendeshwa kihuni hata tozo zingine hailipi sasa hapo ilikuwa inahujum nchi wewe ndio unaona sifa?
Mpaka sasa hivi wanadaiwa hawajalipa
Walipe madeni wasepe.
Muhimu huduma nafuu kwa wananchi hayo mengine yangezungumzika
 
Huna akili wewe kubwa jinga,yaani mtu mmoja anaweza akaamua ijengwe Sgr na ununuzi wa ndege za Atcl? Pumbavu usie na akili,bali unataka kujifanya una akili.
 
Hawana jibu la ufisadi huo,wao bungeni wamebaki kupitisha miswada ya hovyohovyo,bunge la awamu ya 4 kulikua na wabunge wa ccm hawataki ujinga ila hawana wa awamu hii wameokotwa jalalani kimboka buguruni
 
Hata kupiga ruksa kama mambo yanakwenda ndivyo sivyo!
 
Back
Top Bottom