kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Lakini muasisi wake ni CCM, na kwenye uchaguzi ndio mbeleko wanayoitumiaMkuu kuna CCM na kundi la watu wasiojulikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini muasisi wake ni CCM, na kwenye uchaguzi ndio mbeleko wanayoitumiaMkuu kuna CCM na kundi la watu wasiojulikana.
Lakini muasisi wake ni CCM ,na kwenye uchaguzi ndio mbeleko wanayoitumia
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu. Huwezi kuitofautisha CCM na BokoharamKabla ya vyama sisi sote ni watanzania.
Moja ya imani za CCM ni kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu. Huwezi kuitofautisha CCM na Bokoharam
Mchawi akijitenga na shetani nguvu za giza zinamwisha, HAWEZI kabisa.Kabla ya vyama sisi sote ni watanzania.
Moja ya imani za CCM ni kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
Kabla ya vyama sisi sote ni watanzania.
Moja ya imani za CCM ni kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
Tumefikaje huku kwenye kuuwana, kutekana, kutesana, kupotezana, kubambikiziana kesi na yote yenye ukakasi huu?
Ilikuwaje kina Sabaya wakatambulika kama vijana wazalendo pamoja na matendo yao maovu?
View attachment 1986970
Kundi la watu wasiojulikana ni halisi, lipo na rasmi limejipenyeza katika utawala wa nchi hii. Pole pole kalitambua kama parallel power na kuwa kwa sababu ya kundi hilo, CCM wala hamsikilizwi tena katika uendeshaji wa nchi.
Si kweli kuwa kundi hili linawatumia ninyi kama koti tu, la kufichia madhambi yao? Si kweli kuwa nyie mko kimya kwa sababu ya vipande 30 vya pesa linavyowapa baadhi yenu?
Hamuioni chuki inayomea nchini kwa sababu ya kundi hili? Nanyi mmeridhia kufungamanishwa pamoja na kundi la wauwaji hawa?
Kulifumbia macho kundi hili ni kukubali kuwa mshirika wa haramu zake.
View attachment 1986971
Kulifumbia macho kundi hili hakutawaacha salama siku zote.
Ushauri wa bure kwenu kama nchi hii mnaipenda, basi jitengeni na kundi hili.
Kufanya hivyo hadharani kutawapa uhalali wa kujivua madhambi yao.
Kila mmoja na akaubebe msalaba wake mwenyewe.
Mchawi akijitenga na shetani nguvu za giza zinamwisha, HAWEZI kabisa.
Ni sawa na kumwambia Osama ajitenge na kikundi chake cha Al Qaeda wakati yeye ndiye alikuwa kinara wa hilo genge. It's ridiculous.
Hata hueleweki. It's a total confusion.Bahati mbaya ni kuwa wachawi wenyewe wangependa sana tuwe na misimamo mikali kama ya kwako mkuu.
Machinga na boda boda hawaondoshwi wote mijini kwa pamoja.
View attachment 1987619
Wenye Magwanda ya kijani hapo kuna "just a handful of" hao wachawi the "instigators."
Ninakazia wanufaika wa vipande 30 huko mboga mboga kutoka kwa hawa jamaa wala si wengi.
Ku m brand bibi au babu wa watu huko chekeleni Tanga kuwa ni sehemu ya wasiojulikana, itakuwa kuridhia kupotezwa maboya na hiyo ngwamba nyuma ya usukani:
View attachment 1987625
Hata hueleweki. It's a total confusion.
Hakika ni kweli kabisa...
Seen!
Chama kinao siku nyingi hao mbona