Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Baada ya Katibu Mkuu kuwa kimya kwa muda mrefu na chama kimekuwa kimya kana kwamba sekretarieti ina mtu mmoja. Tunahitaji kuwasikia viongozi wetu wa chama wakitupa mrejesho wa utekelezaji wa ilani ya chama na siyo kumsubiri Tundu Lisu atuseme ndio tuanzishe malumbano. Kwa maana hiyo basi, kwakuwa mh Makonda ameonyesha ukomavu wa kisiasa na ameweza kuwa mfano bora wa msimamizi wa ilani mkoani kwake, basi kama itampendeza Mwenyekiti nashauri aingizwe kwenye sekretarieti ya chama. Tunahitaji mtu anayesema na kutenda ndani ya sekretarieti kama alivyokuwa komredi Kinana, ahsante!