leta dataz shem.....CCM wajitahidi sana huyo dogo hauziki ni fisadi mdogo ni jamaa yake sana na Kamala D..nadhani ni huyu OSCAR R Mukasa....nitatoa nyeti zake baadaye namfahamu fika!
FMES;
Oscar Mukasa ni Kijana mwenzetu na yuko makini sana. Kitaaluma yeye ni mtu wa ICT na anafanya kazi Ifakara Health Research And Development Centre (IHRDC) ofisi yao iko maeneo ya Mikocheni. Toka harakati hizi zianze alikuwa na matumaini sana. Hata hivyo kwa mujibu wake mwenyewe si mzoefu sana wa mambo ya siasa.
Ila kama Wapinzani wataunganisha nguvu, then atakuwa na Changamoto kubwa sana ya kushinda.
leta dataz shem.....
Acha mambo yako wewe humjui kabisa huyo jamaa...nani kakwambia yuko makini? hajui kabisa siasa ...usimuharibie wengine twamjua inside out... kwa hili nakukatalia
Mas
Namsubiria Mzee wa sauti aweke mambo ni weke ukweli maana naona ameisha anza! Eti yuko makini Pooohh
- Mkulu Masa, na wengine mnaomjua huyu Mukasa tupeni dataz hapa tumjue ni nani hasa, na mnaomjua mgombea wa Chadema, pia tupoeni dataz hapa, kutokana na niliyoyapata kutoka huko ndani ningekua na uwezo ni kuwalazimisha wapinzani wote kuungana chini ya mgombea wa Chadema, maana sio siri hata huko ndani wanamuogopa, ila simjui ni nani haya wakuu tupeni dataz! Ila huyu wa CCM nimeambiwa kuwa ana biashara biashara sana huko Biharamulo, au?
Respect.
FMEs!
Namsubiria Mzee wa sauti aweke mambo ni weke ukweli maana naona ameisha anza! Eti yuko makini Pooohh
Masanilo, nimeandika "Hata hivyo kwa mujibu wake mwenyewe si mzoefu sana wa mambo ya siasa"
Kuhusu umakini nimesema "Oscar Mukasa ni Kijana mwenzetu na yuko makini sana". Umakini wake ninao utambua tumefanya naye Project Moja kubwa sana ya ICT (Connectivity) akiwa Consultant na alikuwa yuko makini sana mpaka project ilipokuwa commissioned.
Sasa shida iko wapi Mkuu?
- Mkulu Masa, Heshima mbele sana, huyo Mukasa mimi simjui wala sijawahi kumsikia leo ndio mara yangu ya kwanza nilipokuwa ninapewa dataz, sasa tunachofanya hapa ni kuelimishana na kuhabarishana, sio mashindano ya anything, utatuelimisha wengi kama ukiweka unachojua kuhusu Mukasa, kuliko kutafuta ligi maana inaweza kutusaidia kuelewa kwa nini wajumbe wengi walikuwa na magutu naye!
Respect.
FMEs!
HAkuna ligi mzee wa sauti...was shocked uliposema yuko makini....!
K...ulizia jamaa alofanya nao kazi kwenye kituo chake hapo....ameisha waliza computer...malipo fake kibao...ulizia utaambiwa.
HAkuna ligi mzee wa sauti...was shocked uliposema yuko makini....! Ni kijana sawa kama tulio wengi hapa....na kama vijana wengine wa CCM ie Masha, Kamala, Nchimbi etc etc
- Ni wapi hapo niliposema yuko makini hebu onyesha mkuu nikuombe radhi! na forums nzima kwa kusema uongo over Mukasa ambaye hata simfahamu ni leo ndio mara yangu ya kwanza kumsikia?
Respect
FMEs!
FMES;
Oscar Mukasa ni Kijana mwenzetu na yuko makini sana. Kitaaluma yeye ni mtu wa ICT na anafanya kazi Ifakara Health Research And Development Centre (IHRDC) ofisi yao iko maeneo ya Mikocheni. Toka harakati hizi zianze alikuwa na matumaini sana. Hata hivyo kwa mujibu wake mwenyewe si mzoefu sana wa mambo ya siasa.
Mkuu, ni vizuri ukaandika habari kamili, maana naona kama unasitasita. Unaweza kufafanua usemi wako assuming kuwa hakuna atakayeenda kuulizia ofisini kwake?
Masanilo, nimeandika "Hata hivyo kwa mujibu wake mwenyewe si mzoefu sana wa mambo ya siasa"
Kuhusu umakini nimesema "Oscar Mukasa ni Kijana mwenzetu na yuko makini sana". Umakini wake ninao utambua tumefanya naye Project Moja kubwa sana ya ICT (Connectivity) akiwa Consultant na alikuwa yuko makini sana mpaka project ilipokuwa commissioned.
Sasa shida iko wapi Mkuu?
Quote: Masa
Hapo kwenye bold ulikuwa na maana gani? Niombe msamaha haraka...ulichapia kama kawaida yako eehh
Hapo kwenye bold ulikuwa na maana gani? Niombe msamaha haraka...ulichapia kama kawaida yako eehh
Hapo kwenye bold ulikuwa na maana gani? Niombe msamaha haraka...ulichapia kama kawaida yako eehh
- Wakuu wengine naomba msaaada eti ninaona sawa sawa kama nyinyi wengine au kuna something a miss hapa?
Respect.
FMEs!
FMES "anaakili" sana alipoona nimemshukia akaedit wakti Allien alisha mquote Bwa Bwa Bwa Bwa hajaweza edit maandishi yake!
FMES "anaakili" sana alipoona nimemshukia akaedit wakti Allien alisha mquote Bwa Bwa Bwa Bwa hajaweza edit maandishi yake!