CCM: Kamati Kuu Kukaa Chini Dar

CCM: Kamati Kuu Kukaa Chini Dar

CCM wajitahidi sana huyo dogo hauziki ni fisadi mdogo ni jamaa yake sana na Kamala D..nadhani ni huyu OSCAR R Mukasa....nitatoa nyeti zake baadaye namfahamu fika!
leta dataz shem.....
 
FMES;

Oscar Mukasa ni Kijana mwenzetu na yuko makini sana. Kitaaluma yeye ni mtu wa ICT na anafanya kazi Ifakara Health Research And Development Centre (IHRDC) ofisi yao iko maeneo ya Mikocheni. Toka harakati hizi zianze alikuwa na matumaini sana. Hata hivyo kwa mujibu wake mwenyewe si mzoefu sana wa mambo ya siasa.

Ila kama Wapinzani wataunganisha nguvu, then atakuwa na Changamoto kubwa sana ya kushinda.

- Mkuu heshima mbele sana, hapo kwenye red pana utata sana na ndio maana kikao kimekua kigumu sana maana kuna hoja yningi sana zilizorushwa against kupitishwa kwake, sasa hopefully ndugu zetu wa upinzani watailalia macho hiyo moment, nasikia wajumbe wengi walionyesha wasi wasi wao kwamba huenda mgombea wa Chadema, akawa more acceptable na wananchi huko kuliko huyu mkulu, naogopa kum-compromise aliyenipa dataz siwezi ksuema yote lakini niliyoitoa ni hint kubwa sana iliyozua kizaa zaa huko ndani ya CC.

- Mkulu Masa, na wengine mnaomjua huyu Mukasa tupeni dataz hapa tumjue ni nani hasa, na mnaomjua mgombea wa Chadema, pia tupoeni dataz hapa, kutokana na niliyoyapata kutoka huko ndani ningekua na uwezo ni kuwalazimisha wapinzani wote kuungana chini ya mgombea wa Chadema, maana sio siri hata huko ndani wanamuogopa, ila simjui ni nani haya wakuu tupeni dataz! Ila huyu wa CCM nimeambiwa kuwa ana biashara biashara sana huko Biharamulo, au?

Respect.

FMEs!
 
Acha mambo yako wewe humjui kabisa huyo jamaa...nani kakwambia yuko makini? hajui kabisa siasa ...usimuharibie wengine twamjua inside out... kwa hili nakukatalia

Mas

Masanilo, nimeandika "Hata hivyo kwa mujibu wake mwenyewe si mzoefu sana wa mambo ya siasa"

Kuhusu umakini nimesema "Oscar Mukasa ni Kijana mwenzetu na yuko makini sana". Umakini wake ninao utambua tumefanya naye Project Moja kubwa sana ya ICT (Connectivity) akiwa Consultant na alikuwa yuko makini sana mpaka project ilipokuwa commissioned.

Sasa shida iko wapi Mkuu?
 
Namsubiria Mzee wa sauti aweke mambo ni weke ukweli maana naona ameisha anza! Eti yuko makini Pooohh

Unamsubiri vipi wakati yeye mwenye ameshasema mnaomjua muweke dataz?
- Mkulu Masa, na wengine mnaomjua huyu Mukasa tupeni dataz hapa tumjue ni nani hasa, na mnaomjua mgombea wa Chadema, pia tupoeni dataz hapa, kutokana na niliyoyapata kutoka huko ndani ningekua na uwezo ni kuwalazimisha wapinzani wote kuungana chini ya mgombea wa Chadema, maana sio siri hata huko ndani wanamuogopa, ila simjui ni nani haya wakuu tupeni dataz! Ila huyu wa CCM nimeambiwa kuwa ana biashara biashara sana huko Biharamulo, au?

Respect.

FMEs!
 
Namsubiria Mzee wa sauti aweke mambo ni weke ukweli maana naona ameisha anza! Eti yuko makini Pooohh

- Mkulu Masa, Heshima mbele sana, huyo Mukasa mimi simjui wala sijawahi kumsikia leo ndio mara yangu ya kwanza nilipokuwa ninapewa dataz, sasa tunachofanya hapa ni kuelimishana na kuhabarishana, sio mashindano ya anything, utatuelimisha wengi kama ukiweka unachojua kuhusu Mukasa, kuliko kutafuta ligi maana inaweza kutusaidia kuelewa kwa nini wajumbe wengi walikuwa na magutu naye!

Respect.

FMEs!
 
Masanilo, nimeandika "Hata hivyo kwa mujibu wake mwenyewe si mzoefu sana wa mambo ya siasa"

Kuhusu umakini nimesema "Oscar Mukasa ni Kijana mwenzetu na yuko makini sana". Umakini wake ninao utambua tumefanya naye Project Moja kubwa sana ya ICT (Connectivity) akiwa Consultant na alikuwa yuko makini sana mpaka project ilipokuwa commissioned.
Sasa shida iko wapi Mkuu?

Kwenye fani yake ya ICT yuko vizuri lakini tukija kwenye mambo mengine kama mwanasiasa sidhani kama anafaa, siwezi kwenda personal kwa hili...ulizia jamaa alofanya nao kazi kwenye kituo chake hapo....ameisha waliza computer...malipo fake kibao...ulizia utaambiwa. CHADEMA wakiweka mgombea makini CCM wanakazi sana. Sijui kama kadi yake ya CHADEMA ameisha irudisha...ameangalia upepo...ni opportunist sana dogo huyo anawaza kuja waziri kama class mate wake wa shule ya msingi, Kamala

Siwezi sema zaidi ila nikiona uongo hapa nitakuja na kasi ya mwewe!
 
- Mkulu Masa, Heshima mbele sana, huyo Mukasa mimi simjui wala sijawahi kumsikia leo ndio mara yangu ya kwanza nilipokuwa ninapewa dataz, sasa tunachofanya hapa ni kuelimishana na kuhabarishana, sio mashindano ya anything, utatuelimisha wengi kama ukiweka unachojua kuhusu Mukasa, kuliko kutafuta ligi maana inaweza kutusaidia kuelewa kwa nini wajumbe wengi walikuwa na magutu naye!

Respect.

FMEs!

HAkuna ligi mzee wa sauti...was shocked uliposema yuko makini....! Ni kijana sawa kama tulio wengi hapa....na kama vijana wengine wa CCM ie Masha, Kamala, Nchimbi etc etc
 
HAkuna ligi mzee wa sauti...was shocked uliposema yuko makini....!

- Ni wapi hapo niliposema yuko makini hebu onyesha mkuu nikuombe radhi! na forums nzima kwa kusema uongo over Mukasa ambaye hata simfahamu ni leo ndio mara yangu ya kwanza kumsikia?

- Halafu ukisoma maneno yako kwa makini ni kwamba umerudia yale yale aliyosema Allien, kwa kifupi Allien amesema jamaa hana uzoefu na siasa na umesema vile vile, Allien akasema Mukasa ni mfanyakazi makini na wewe umekubali, sasa tofauti ni ipi uliyoiweka mkuu?

Respect

FMEs!
 
K...ulizia jamaa alofanya nao kazi kwenye kituo chake hapo....ameisha waliza computer...malipo fake kibao...ulizia utaambiwa.

Mkuu, ni vizuri ukaandika habari kamili, maana naona kama unasitasita. Unaweza kufafanua usemi wako assuming kuwa hakuna atakayeenda kuulizia ofisini kwake?
 
HAkuna ligi mzee wa sauti...was shocked uliposema yuko makini....! Ni kijana sawa kama tulio wengi hapa....na kama vijana wengine wa CCM ie Masha, Kamala, Nchimbi etc etc

Mkuu unge tupa data unazo zijua wewe. Hao walio sema ni makini wanaongelea kwa wanavyo mjua so kama wewe unamjua kivingine sema. After all JF ni sehemu ya kuangalia pande zote za shilingi.
 
- Ni wapi hapo niliposema yuko makini hebu onyesha mkuu nikuombe radhi! na forums nzima kwa kusema uongo over Mukasa ambaye hata simfahamu ni leo ndio mara yangu ya kwanza kumsikia?

Respect

FMEs!

FMES;

Oscar Mukasa ni Kijana mwenzetu na yuko makini sana. Kitaaluma yeye ni mtu wa ICT na anafanya kazi Ifakara Health Research And Development Centre (IHRDC) ofisi yao iko maeneo ya Mikocheni. Toka harakati hizi zianze alikuwa na matumaini sana. Hata hivyo kwa mujibu wake mwenyewe si mzoefu sana wa mambo ya siasa.

Hapo kwenye bold ulikuwa na maana gani? Niombe msamaha haraka...ulichapia kama kawaida yako eehh
 
Mkuu, ni vizuri ukaandika habari kamili, maana naona kama unasitasita. Unaweza kufafanua usemi wako assuming kuwa hakuna atakayeenda kuulizia ofisini kwake?

Huyu naye! siwezi kwenda personal na kijana mwenzetu ameanza safari ya kisiasa...ila ukiwekwa uwongo nitarekebisha!
 
Masanilo, nimeandika "Hata hivyo kwa mujibu wake mwenyewe si mzoefu sana wa mambo ya siasa"

Kuhusu umakini nimesema "Oscar Mukasa ni Kijana mwenzetu na yuko makini sana". Umakini wake ninao utambua tumefanya naye Project Moja kubwa sana ya ICT (Connectivity) akiwa Consultant na alikuwa yuko makini sana mpaka project ilipokuwa commissioned.

Sasa shida iko wapi Mkuu?

Quote: Masa

Hapo kwenye bold ulikuwa na maana gani? Niombe msamaha haraka...ulichapia kama kawaida yako eehh

- Wakuu wengine naomba msaaada eti ninaona sawa sawa kama nyinyi wengine au kuna something a miss hapa?

Respect.

FMEs!
 
Hapo kwenye bold ulikuwa na maana gani? Niombe msamaha haraka...ulichapia kama kawaida yako eehh

Mkuu hizo quotations mbona za watu wawili tofauti? Juu umem quote FMES na chini ukam quote Allien kana kwamba ni mtu mmoja. FMES haja sema popote kuwa jamaa ni makini. Au nime kosea mkuu?
 
FMES "anaakili" sana alipoona nimemshukia akaedit wakti Allien alisha mquote Bwa Bwa Bwa Bwa hajaweza edit maandishi yake!
 
- Wakuu wengine naomba msaaada eti ninaona sawa sawa kama nyinyi wengine au kuna something a miss hapa?

Respect.

FMEs!

Nimeona mkuu. Ka quote maneno yako na ya Alien kana kwamba zote ni za kwako. Ila naona mkuu kakosea tu. Lakini jamaa mbona kama there is something going on? Kutajwa tu mgombea huyo wa CCM naona post zake anaanza kuchanganya mambo. Au ana jua kitu hatujui?
 
Back
Top Bottom