Huyu naye! siwezi kwenda personal na kijana mwenzetu ameanza safari ya kisiasa...ila ukiwekwa uwongo nitarekebisha!
FMES "anaakili" sana alipoona nimemshukia akaedit wakti Allien alisha mquote Bwa Bwa Bwa Bwa hajaweza edit maandishi yake!
This is how people loose credibility. Na siku nyingine tuki pinga hoja zao wata sema JF kuna ushabiki.
Of all the pipo na wewe umo?
I am out!
Pumba
Unajaza bandwidth mazee toka uombe msamaha huwezi kufikiri tena...peaneni thanks basi! Pumba tupu wote...
Je huyo mgombea wa CCM CV yake ikoje? Tunaweza kuipata? na hata huyo wa Chadema.
Mkuu,
Huyu Oscar Mukasa mimi namfahamu ingawa si sana. Anakaa Tabata Maflat ya NSSF na ni kijana mfupi mweusi. Anavaa miwani.
Nimjuavyo mimi na kwa muonekano, ni kijana wa kawaida ambaye huwezi kudai kuwa ana maisha ya juu. Ana maisha ya kawaida tu. Ndiyo maana Masanilo alipodai ana nyeti zake za ufisadi nilitaka kujua ni zipi. Bahati mbaya kaingia mitini hajibu maswali.
Amewahi kufanya kazi na Dr. Hassani Mshinda wa COSTECH kabla hajaamia hapo, na ni moja wa vijana ambaye yuko makini katika kazi yake.
Habari zake za kuingia katika siasa nilianza kumsikia toka wakati kulipokuwa na Kesi mahakama kuu ya uchaguzi wa jimbo la Bihalamulo. Alikuwa na nia ya kugombea na alidai wazee wengi wa kule kijijini walikuwa wanamuunga mkono kuliko wengine waliokuwa na azma ya kugombea.
Ngoja kesho, nitaongea naye nimsikie ni nini kilichojili na kisha tutahabarishana.
Author: Oscar Mukasa | ResearchGATE
Locate articles published by author Oscar Mukasa in our database of more than 30 million publications from different sources. Access publication details and ...
- Huyu Mukasa anaonekana ana shule nzito sana, nimeona article zake nyingi sana huko google, sasa tutasubiri mnaomjua mtupe habari zaidi za kumhusu, na pia Mkuu Allien shukrani kwa info za Mukasa na tunasubiria zaidi ukishaongea naye.
Respect.
FMEs!
mkifiria kinachoshindwanishwa ni elimu basi wote wawili wapewa Ubunge!