Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Kupe ndie nani?Kwani wewe ni kupe gani?
Au yule aliyeshindwa upresi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupe ndie nani?Kwani wewe ni kupe gani?
Kheeeee heeee heee...Eeeh eEe! Imekula kwao!walitegemea kasulu ingeongozwa na upinzani na siyo ccm tena...
I dont understand...... Hivi Kigoma kuna Halmashauri ngapi??????hawa watu wa kasulu wataendelea kuishi kimskini mpaka wachanganyikiwe maana wanazidi kuboronga ktk maamuzi yao....kuendelea kuichagua ccm ni keuendelea kujichimbia kaburi la umaskini...poleni watu wa kasulu maana huu ndio ulikuwa muda muafaka wa kukiondoa chama dhalimu cha ccm...golden chance never come twice.
waambie tu wajue siku yenyewe kuwa ni miaka nne ijayoWanashangilia ipo siku nao watalia tu
I dont understand...... Hivi Kigoma kuna Halmashauri ngapi??????
Chama Tawala CCM, kimetwaa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma. CCM OYEEEEEEE!!!!!!!!
Chama Tawala CCM, kimetwaa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma. CCM OYEEEEEEE!!!!!!!!
kuna halmashauri ya kigoma ujiji, kasulu na kibondo. hivyo ziko tatu in total.