Elections 2010 CCM kidedea

Elections 2010 CCM kidedea

kasulu wameshinda ccm, upinzani walikuwa 31, na ccm walikuwa 30. wakamnunua diwani wa viti maalum wa cuf, CUf wakawa 31. hivyo ccm ndio wanaongoza kasulu...inasemekana huyo mama usalama wake uko hatarini maana vijana na watu wengine pale kasulu wanaangua kilio kwa usaliti alioufanya. walitegemea kasulu ingeongozwa na upinzani na siyo ccm tena...
 
Nadhani kuna mkanganyiko wa habari, sisi tunaendelea kusubiri kwa uhakika zaidi
 
hawa watu wa kasulu wataendelea kuishi kimskini mpaka wachanganyikiwe maana wanazidi kuboronga ktk maamuzi yao....kuendelea kuichagua ccm ni keuendelea kujichimbia kaburi la umaskini...poleni watu wa kasulu maana huu ndio ulikuwa muda muafaka wa kukiondoa chama dhalimu cha ccm...golden chance never come twice.
 
hawa watu wa kasulu wataendelea kuishi kimskini mpaka wachanganyikiwe maana wanazidi kuboronga ktk maamuzi yao....kuendelea kuichagua ccm ni keuendelea kujichimbia kaburi la umaskini...poleni watu wa kasulu maana huu ndio ulikuwa muda muafaka wa kukiondoa chama dhalimu cha ccm...golden chance never come twice.
I dont understand...... Hivi Kigoma kuna Halmashauri ngapi??????
 
Wadanganyika ni mtindio wa ubongo mtindo mmoja. Unashangaa nini? Natamani wapate shida mpaka wale majani. kudadadeki
 
Chama Tawala CCM, kimetwaa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma. CCM OYEEEEEEE!!!!!!!!

Chama Tawala CCM, kimetwaa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma. CCM OYEEEEEEE!!!!!!!!

Hawa ndio wale Nyerere aliowasema wanabaki wakishangilia kama 'mazuzu vile' hata pale wanachokipewa ni kanyaboya ya kipande cha chupa wakidhani wamepewa au kubadilishiwa almasi au dhahabu vile...ndio style ya huyu jamaa - Kaumza! Anaishangilia CCM kwa fikra gani? Yaani watu ambao ni miili inayotembea pasipo na fikra, akili zilishakufa zamani, wanaoweza kupongezana, kumbe wote wako kundi la sherehe za kanyaboya!! Pole sana ndugu! Unahitaji ukombozi, utoke uliko uwe na fikra hai kama wengi wanaoona mbele!
 
kuna halmashauri ya kigoma ujiji, kasulu na kibondo. hivyo ziko tatu in total.

Du mzee, jina lako ni mtego wa noti - eneo lililoko kwenye halmashauri yetu ya Kigoma lakini umepotosha habari. Mkoa wa Kigoma kuna Halmashauri nne kama ifuatavyo: Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji. Pamoja na kuwa kuna halmashauri nne lakini ikumbukwe kuwa kuna Wilaya tatu tu katika mkoa wa Kigoma ambazo ni Wilaya ya Kibondo, Kasulu na Kigoma. Mkuu wa wilaya ya Kigoma (John Mongella) ndiye mwenye halmashauri mbili ya Wilaya na Manispaa Ujiji.
 
Back
Top Bottom