Dodoma wakuu wote wa idara za serikali Tanzania nzima walikuwepo Dodoma kwa lazimaMwanza na Dodoma ni watoto wa shule ya msingi ndo wanakua kwenye mikutano ya ccm bora hata kuko kilimanjaro ni wachache lkn ni watu wazima
Kilimanjaro ninayoijua Mimi,haiwezi kuingia kwa Mwanza hata kidogo ungezungumzia Arusha Ila sio huo utumbo wako .Tembea uone, acha kubweka🗣️ hovyo, kima wewe.Wanazidiwa kwa kila kitu, we boya
Hao walikuwa wahuni watu wa kule uwashawishi kwa vitu vinavyoonekana, siasa utakazofanya Dodoma Ni tofauti na Kilimanjaro watu wagumu Sana hawadaganyiki kule, so lazima uwashawishi vizuri same applied to Arusha
Next level mnashangilia Gari moshi!!!Tangu lini Kilimanjaro ikafananishwa na Mwanza? Inawezekana huelewi ulichoandika. Kilimanjaro ni next level ya kila kitu
Tofautisha wanasiasa wa ulaya na Hawa wa Africa, ulaya watu wanasimamia masilahi ya raia huku wanasiasa wanaangalia matumbo yao, hovyo kabisaMwanasisa yeyote ni muongo hata Ulaya na Amerika , Moshi kitu gani? Mjinga nani anauziwa maneno unaridhika. Tunazidisha ushabiki.
Kwa kila kitu bishaaWe nae boya kweli, kwahiyo Kilimanjaro inaizidi Mwanza kitu gani[emoji848]?
Tulia wewe watu walishaelimika toka enzi za ukoloni huko mwanza kwenyewe ustaarabu mmeletewa na watu wa moshi,[emoji12] bisha na hapoKilimanjaro ninayoijua Mimi,haiwezi kuingia kwa Mwanza hata kidogo ungezungumzia Arusha Ila sio huo utumbo wako .Tembea uone, acha kubweka[emoji2788] hovyo, kima wewe.
unawasema wa makao makuu au kule ziwani ndio wanaolala na mifugo ndani?Nimecheka eti chama kupendwa na wananchi, hapo Kilimanjaro si ndio madiwani walihama kwenda kuunga mkono juhudi, kwenye project haramu ya kina Polepole?
Kama wananchi hawajawapenda hiyo miaka mitano, ndio watawapenda kipindi hiki cha miezi miwili kabla ya uchaguzi? Au ndio hayo ya kunenepeshea ng'ombe mnadani?
Huko Moshi watu walishaamka zamani, huwezi fananisha na hizo sehemu watu wanalala na mifugo ndani.
Ohooo..!😂 Kuna dalili za kubishana mpaka kesho hapa, Kilimanjaro haiwezi kulingana na Mwanza, labda tuzungumzie mbege🤔Tulia wewe watu walishaelimika toka enzi za ukoloni huko mwanza kwenyewe ustaarabu mmeletewa na watu wa moshi,[emoji12] bisha na hapo
Kwa mbege tu, maana wengine iliwavunja miguu, wakataka kusingizia watu wasiojulikana😂.Kwa kila kitu bishaa
Mzee Mgaya anasemaje kuhusu kauli ya Warioba juu ya Lissu?Tuko hapa na mzee Mgaya tunafuatilia mikutano ya kampeni luningani!
Bwashee ngoja nimuulize tukikutana kesho!Mzee Mgaya anasemaje kuhusu kauli ya Warioba juu ya Lissu?
Huko Mwanza na Dodoma si alikuwepo Rais ndio maana, Waziri Mkuu Hana ushawishi kivile
Ukiwa upinzani wenye kutawala ni wapinzani, na ukiwa unatawala wanao kupinga ni upinzani.Tofautisha wanasiasa wa ulaya na Hawa wa Africa, ulaya watu wanasimamia masilahi ya raia huku wanasiasa wanaangalia matumbo yao, hovyo kabisa
Huko watu sio wanafiki kama unavyofukiria kule wana kauli mbiu kabisa kula Ccm kulala CDM upo? Yaani huwezi wadanganya kwa lolote wakishaamua wameamua kwa umoja wao hawapangiwi huwa wanapanga
hata Mbatia ni "kichwa" ila kuna kitu kimekuja kumharibu hivi majuzi tu.Hawa akina Mbatia?!
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.
Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Inasikitisha sana mkuu, halafu utakuta walimu ndio wa kwanza kuichagua ccm na kuitetea sijui uwa wanakua wamelogwa au vipiWalishurutishwa, kwamba wasipoenda watafukuzwa shule au🤔?
Tulieni mnyoleweNaona hata uvivu kukujibu,fikiria mwenyewe