Uchaguzi 2020 CCM Kilimanjaro nendeni Dodoma na Mwanza mkajifunze namna ya kushawishi wananchi wahudhurie mikutano yenu

Uchaguzi 2020 CCM Kilimanjaro nendeni Dodoma na Mwanza mkajifunze namna ya kushawishi wananchi wahudhurie mikutano yenu

Mwanza na Dodoma ni watoto wa shule ya msingi ndo wanakua kwenye mikutano ya ccm bora hata kuko kilimanjaro ni wachache lkn ni watu wazima
Dodoma wakuu wote wa idara za serikali Tanzania nzima walikuwepo Dodoma kwa lazima
 
Hao walikuwa wahuni watu wa kule uwashawishi kwa vitu vinavyoonekana, siasa utakazofanya Dodoma Ni tofauti na Kilimanjaro watu wagumu Sana hawadaganyiki kule, so lazima uwashawishi vizuri same applied to Arusha

Mwanasisa yeyote ni muongo hata Ulaya na Amerika , Moshi kitu gani? Mjinga nani anauziwa maneno unaridhika. Tunazidisha ushabiki.
 
Mwanasisa yeyote ni muongo hata Ulaya na Amerika , Moshi kitu gani? Mjinga nani anauziwa maneno unaridhika. Tunazidisha ushabiki.
Tofautisha wanasiasa wa ulaya na Hawa wa Africa, ulaya watu wanasimamia masilahi ya raia huku wanasiasa wanaangalia matumbo yao, hovyo kabisa
 
Kilimanjaro ninayoijua Mimi,haiwezi kuingia kwa Mwanza hata kidogo ungezungumzia Arusha Ila sio huo utumbo wako .Tembea uone, acha kubweka[emoji2788] hovyo, kima wewe.
Tulia wewe watu walishaelimika toka enzi za ukoloni huko mwanza kwenyewe ustaarabu mmeletewa na watu wa moshi,[emoji12] bisha na hapo
 
Nimecheka eti chama kupendwa na wananchi, hapo Kilimanjaro si ndio madiwani walihama kwenda kuunga mkono juhudi, kwenye project haramu ya kina Polepole?

Kama wananchi hawajawapenda hiyo miaka mitano, ndio watawapenda kipindi hiki cha miezi miwili kabla ya uchaguzi? Au ndio hayo ya kunenepeshea ng'ombe mnadani?

Huko Moshi watu walishaamka zamani, huwezi fananisha na hizo sehemu watu wanalala na mifugo ndani.
unawasema wa makao makuu au kule ziwani ndio wanaolala na mifugo ndani?
 
Tulia wewe watu walishaelimika toka enzi za ukoloni huko mwanza kwenyewe ustaarabu mmeletewa na watu wa moshi,[emoji12] bisha na hapo
Ohooo..!😂 Kuna dalili za kubishana mpaka kesho hapa, Kilimanjaro haiwezi kulingana na Mwanza, labda tuzungumzie mbege🤔
 
Huko Mwanza na Dodoma si alikuwepo Rais ndio maana, Waziri Mkuu Hana ushawishi kivile
 
Tofautisha wanasiasa wa ulaya na Hawa wa Africa, ulaya watu wanasimamia masilahi ya raia huku wanasiasa wanaangalia matumbo yao, hovyo kabisa
Ukiwa upinzani wenye kutawala ni wapinzani, na ukiwa unatawala wanao kupinga ni upinzani.

Wakati wote kila mmoja anaona upande mwingine haufanyi vizuri kama yeye angekuwa madarakani.

Walioko madarakani wanaona upinzani ni watu wa maneno matupu na upinzani hauthamini kazi za wanaotawala muda huo.

Wao wana tuuzia kazi ambazo tunaona hazifai na sisi tunauza maneno ya kudhalilisha kazi wafanyazo.

Wana tuuzia kazi zao- tunaona hazifai.
Tunauza maneno - wanaona maneno matupu.

NANI ANADANGAYWA ? - MPIGA KURA.
 
Maafisa elimu washirikishwe.
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.

Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
 
Walishurutishwa, kwamba wasipoenda watafukuzwa shule au🤔?
Inasikitisha sana mkuu, halafu utakuta walimu ndio wa kwanza kuichagua ccm na kuitetea sijui uwa wanakua wamelogwa au vipi
 
Back
Top Bottom