Uchaguzi 2020 CCM Kilimanjaro nendeni Dodoma na Mwanza mkajifunze namna ya kushawishi wananchi wahudhurie mikutano yenu

Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.

Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Wajifunze nini , kusomba watu kwa malori na kufunga shule za msingi?
 
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.

Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Kilimanjaro watu walishaitupa ccm tangu 1995 wengine wanafuata taratibu ndivyo ilivyo mabadiliko huanza na watu flani flani na kufuata kwa wengine baadaye akili zao zinapofunguka.
 
UNACHOANDIKA NI KWELI, KWASABABU WIKI ILIYOPITA NILIANGALIA MKUTANO WA CCM ULIOFANYWA HAPA MOSHI MJINI NA PRISCUS TARIMO NA MKUTANO WA CHADEMA ULIOFANYWA MBUYUNI ENEO LA MANYEMA NA RAYMOND MBOYA, NIKAGUNDUA KILIMANJARO CCM BADO SANA.
CHADEMA WALIPATA WATU WA KUTOSHA ILA CCM HAKUNA KITU MPAKA WAKAFUNGA KAMPENI KABLA HATA YA SAA 12:00
 
Kilimanjaro ccm hawana wagombea la Same kidogo!
naangalia mkutano wa PM Majaliwa wamejaa askari polisi,magereza na mgambo...halafu wananchi wana njaa wanapiga miayo tu.
 
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.

Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa makini narudia tena "Dodoma na Mwanza!!" 😀 😀 😀
Kwanini sio Mbeya na Mtwara?
 
Moshi wako busy kutafta riziki mda wakufatilia wanasiasa utopolo hawana, halafu kule huwezi shawishi watu wapande malori ka ng'ombe wanaopelekewa mnadani wakubali, kule watu hawataki ujinga
Mbona treni wanaishangilia ikipita!!
 
Kwani wewe hujaona nyomi ya Dodoma na Mwanza?!
Nimerudia na narudia tena "Dodoma na Mwanza... Nduhu tabu!!" 😀 😀
Hapo Mwanza watu hulazwa mashuleni na wengine husahaulika baada ya mkutano!!! Dodoma chakula na chumvi vinatosha kuwaalika wagogo maana wao wanathamini matumbo kuliko...
 
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.

Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Huko watu sio wanafiki kama unavyofukiria kule wana kauli mbiu kabisa kula Ccm kulala CDM upo? Yaani huwezi wadanganya kwa lolote wakishaamua wameamua kwa umoja wao hawapangiwi huwa wanapanga
 
Mbona treni wanaishangilia ikipita!!
Hao walikuwa wahuni watu wa kule uwashawishi kwa vitu vinavyoonekana, siasa utakazofanya Dodoma Ni tofauti na Kilimanjaro watu wagumu Sana hawadaganyiki kule, so lazima uwashawishi vizuri same applied to Arusha
 
Nimerudia na narudia tena "Dodoma na Mwanza... Nduhu tabu!!" 😀 😀
Hapo Mwanza watu hulazwa mashuleni na wengine husahaulika baada ya mkutano!!! Dodoma chakula na chumvi vinatosha kuwaalika wagogo maana wao wanathamini matumbo kuliko...
[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom