Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Du!!Basi Mwanza na Dodoma kuna shule nyingi sana .
Ndio, lakini za kata, huko moshi nyingi ni English medium ambapo huo upuuzi hauna nafasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du!!Basi Mwanza na Dodoma kuna shule nyingi sana .
Labda kashauriwa na Mzee Mgaya.Mshauri mashuhuri wa ccm mitandaoni...haya mzee baba wamekusikia
Wajifunze nini , kusomba watu kwa malori na kufunga shule za msingi?Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.
Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Huu ni ushauri binafsi kwa chama changu!Labda kashauriwa na Mzee Mgaya.
Subiri waje Dodoma kwanza bwashee!
Mama wa watu wamwache tu ajipumzikie.
Kilimanjaro watu walishaitupa ccm tangu 1995 wengine wanafuata taratibu ndivyo ilivyo mabadiliko huanza na watu flani flani na kufuata kwa wengine baadaye akili zao zinapofunguka.Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.
Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa makini narudia tena "Dodoma na Mwanza!!" 😀 😀 😀Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.
Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Hawa akina Mbatia?!Watu wa Kilimanjaro ni "akili kubwa"
YESU NI BWANA!
Kwani wewe hujaona nyomi ya Dodoma na Mwanza?!Kwa makini narudia tena "Dodoma na Mwanza!!" 😀 😀 😀
Kwanini sio Mbeya na Mtwara?
Mbona treni wanaishangilia ikipita!!Moshi wako busy kutafta riziki mda wakufatilia wanasiasa utopolo hawana, halafu kule huwezi shawishi watu wapande malori ka ng'ombe wanaopelekewa mnadani wakubali, kule watu hawataki ujinga
Nimerudia na narudia tena "Dodoma na Mwanza... Nduhu tabu!!" 😀 😀Kwani wewe hujaona nyomi ya Dodoma na Mwanza?!
Huko watu sio wanafiki kama unavyofukiria kule wana kauli mbiu kabisa kula Ccm kulala CDM upo? Yaani huwezi wadanganya kwa lolote wakishaamua wameamua kwa umoja wao hawapangiwi huwa wanapangaNimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.
Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Hao walikuwa wahuni watu wa kule uwashawishi kwa vitu vinavyoonekana, siasa utakazofanya Dodoma Ni tofauti na Kilimanjaro watu wagumu Sana hawadaganyiki kule, so lazima uwashawishi vizuri same applied to ArushaMbona treni wanaishangilia ikipita!!
[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]Nimerudia na narudia tena "Dodoma na Mwanza... Nduhu tabu!!" 😀 😀
Hapo Mwanza watu hulazwa mashuleni na wengine husahaulika baada ya mkutano!!! Dodoma chakula na chumvi vinatosha kuwaalika wagogo maana wao wanathamini matumbo kuliko...