CCM Kizimkazi tayari wanamsagia kunguni Emmanuel Nchimbi

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
Kama upo Dodoma wakati huu utayasikia haya; CCM Kizimkazi, CCM Janjaweed tayari wanamsagia kunguni Dr.Nchimbi, kwamba asijikute yeye ni Rais. Hawapendezwi na “tone” ya maridhiano ya Dr.Nchimbi. Wanadai ndiyo kwanza kumekucha “mission unaccomplished”, penda tusipende.

Wakati Ukuta, Watanganyika mtasikia na kuona mengi.
 
 
Nadhani Nchimbi siyo oyaoyq kama yule aliyemaliza muda wake. Ukiwatazama Nchimbi na Samia siku ile wanachukua form zao za ushindi utajua kuna kitu hakiko sawa kabisa. Camera man alijitahidi sana kukwepesha vitu vingine.
 
Nadhani Nchimbi siyo oyaoyq kama yule aliyemaliza muda wake. Ukiwatazama Nchimbi na Samia siku ile wanachukua form zao za ushindi utajua kuna kitu hakiko sawa kabisa. Camera man alijitahidi sana kukwepesha vitu vingine.
Polepole kabla hajatekwa alishasema kuwa ibilisi Samia alitaka kubadilisha gia angani na kubadilisha makamu aweke mwingine badala ya Nchimbi?
 
Siku zote tumesema wazanzibari wako rojo rojo watu wa urojo iweje leo tuwaogope?

Nguvu za kutuzidi wamezipata wapi ghafla?

Tumekuwa tukiona wanavyo fail kidato cha nne na high school hata vyuoni tukasema hawana uelewa mzuri lakini leo wanajadiliwa kana kwamba ni ma genoius kutuzidi, huo ujinga umetoka wapi?

Hawa watu wao wanaweza kutufanyia subotage lakini sisi timeshindwa ku reciprocate subotage kwao au nini kimetutokea?

Eti ccm kizimkazi seriously?
 
Nchimbi atapata shida sana kufanya kazi na uswahili uliopo sasa. I hope amejipanga sana hasa kiulinzi. Awe analala macho, asinywe na kula hovyo hovyo. Mic iwe inaangaliwa vizuri. Kazi kubwa ni kukata utepe kwenye funguzi mbalimbali, awe makini.
 
Mnapika fitna nyingine,wazee wa kufitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…