CCM Kizimkazi tayari wanamsagia kunguni Emmanuel Nchimbi

CCM Kizimkazi tayari wanamsagia kunguni Emmanuel Nchimbi

So hakuna ku follow katiba, Sheria,kanuni utaratibu ni uhuni na u mafia TU 😂 Yan
 
Siku zote marais wa kwetu wanakuwa hawana utulivu pale wanapochaguwa wagombea wenza kwa sababu ya lile wenge la kuchaguliwa ama kuteuliwa.

Kwa magufuli kipindi kile hata angeteuliwa nani asinge jali maadam yeye amesha teuliwa.

Badae wakisha anza kazi na kuwa kwenye utulivu ndipo wanaona udhaifu wa wagombea wenza wao wanatamani warudi nyuma ila wanakuwa hawana namna !

Magufuli alisema wazi na pengine huyu wetu sasa anaweza kuja kusema hivyo hapo mbele kidogo!
Muhimu wasiwindane tukatudia tena kupepesha bendera nusu mlingoti.
 
Nchimbi sio mtu wa kuyumbishwa hovyo.. magufuli mwenyewe alimwogopa akamtupa brazil asimsumbue... itakua mama abdul???
 
Siku zote tumesema wazanzibari wako rojo rojo watu wa urojo iweje leo tuwaogope?

Nguvu za kutuzidi wamezipata wapi ghafla?

Tumekuwa tukiona wanavyo fail kidato cha nne na high school hata vyuoni tukasema hawana uelewa mzuri lakini leo wanajadiliwa kana kwamba ni ma genoius kutuzidi, huo ujinga umetoka wapi?

Hawa watu wao wanaweza kutufanyia subotage lakini sisi timeshindwa ku reciprocate subotage kwao au nini kimetutokea?

Eti ccm kizimkazi seriously?
ingia hapo kwa mekyu pata mbili msee
Katika soma yangu sijawah kutana hata na mzanzibar average wote bongo lala
 
Nchimbi yuko against sanaa na samua aliwai kutoka na kukemea utekaji hadharan tena ikiwa hot hot kipind vha gwajima na polepole
 
Siku zote marais wa kwetu wanakuwa hawana utulivu pale wanapochaguwa wagombea wenza kwa sababu ya lile wenge la kuchaguliwa ama kuteuliwa.

Kwa magufuli kipindi kile hata angeteuliwa nani asinge jali maadam yeye amesha teuliwa.

Badae wakisha anza kazi na kuwa kwenye utulivu ndipo wanaona udhaifu wa wagombea wenza wao wanatamani warudi nyuma ila wanakuwa hawana namna !

Magufuli alisema wazi na pengine huyu wetu sasa anaweza kuja kusema hivyo hapo mbele kidogo!
Muhimu wasiwindane tukatudia tena kupepesha bendera nusu mlingoti.
Huyo wenu na nan
 
ingia hapo kwa mekyu pata mbili msee
Katika soma yangu sijawah kutana hata na mzanzibar average wote bongo lala
Sasa ukiangalia mleta mada anawasifia kana kwamba sisi ni vilaza na wao ni very intelligent, and very powerful.
Nikashangaa.
 
Nchimbi ni Makamu wa Rais, ila kuna ‘mtoto’ ndio Makamu wa Rais original, huyohuyo ndio Waziri Mkuu, Mkuu wa Majeshi, Mkuu wa Polisi, Mkuu wa Takukuru na Mkuu wa Usalama wa Taifa a.k.a GENERAL (na majitu mazima yote sasa hivi yanamwita General, nchi ya kipumbavu hii)! Bado watoto wengine nao na mkwe, sijui wanavyeo gani visivyo rasmi huko serikalini, basi alimradi shughuli pevu. Orders zinatoka sehemu mbalimbali kwenye familia hii. Kazi anayo Nchimbi. Wameyataka wenyewe bwana wayanywe.
 
Siku zote tumesema wazanzibari wako rojo rojo watu wa urojo iweje leo tuwaogope?

Nguvu za kutuzidi wamezipata wapi ghafla?

Tumekuwa tukiona wanavyo fail kidato cha nne na high school hata vyuoni tukasema hawana uelewa mzuri lakini leo wanajadiliwa kana kwamba ni ma genoius kutuzidi, huo ujinga umetoka wapi?

Hawa watu wao wanaweza kutufanyia subotage lakini sisi timeshindwa ku reciprocate subotage kwao au nini kimetutokea?

Eti ccm kizimkazi seriously?
Waliungana na jeshi la uganda mkuu, alafu yalikuwa ni mashambulizi ya kushtukiza, pia hakuna mtu alijua kwamba wameruhusiwa kuua, wanadamanaji hawakuwa na Sarah's, pia kumbuka wanapata msaada kutoka serikali za uarabuni, connect dot kwapa waara bandari, na zile tuhuma za contena la siraha kupitishwa bandarini na bwana Adbul
 
Nadhani Nchimbi siyo oyaoyq kama yule aliyemaliza muda wake. Ukiwatazama Nchimbi na Samia siku ile wanachukua form zao za ushindi utajua kuna kitu hakiko sawa kabisa. Camera man alijitahidi sana kukwepesha vitu vingine.
Hata siku ya uapisho..ni kama vile nchimbi kalazimishwa tu kuwa VP.
 
Nimeota ndoto Nchimbi akilitangazia Taifa kifo cha Samia nilipoamka nimekasirika kweli kweli kuwa kumbe ni ndoto. Mwenyezi Mungu tunakuomba ulifanyie Taifa letu wepesi ili damu isiendelee kumwagika tena.
 
Uzuri Nchimbi akilianzisha anaweza kupata sapoti kubwa sana CCM na nje ya ccm Japokua nae ni mwanamtandao
Wote hao niwakuwala vichwa , hatuwezi kukubali Taifa la thamani namna hii likatekwa na viwatu pori namna hiyo na wenye hekima wakawa wanawaangalia tu .
 
Back
Top Bottom