CCM Kizimkazi tayari wanamsagia kunguni Emmanuel Nchimbi

CCM Kizimkazi tayari wanamsagia kunguni Emmanuel Nchimbi

Eneo lake la kazi ni mazingira na muungano, deputy president wa kwetu hana mambo mengi ndio maana kipindi fulani ilionekana ni "kazi ya kukata utepe"
Sio lazima anaweza kupewa eneo lolote hata TAMISEMI, utumishi n.k ni uamuzi tuu
 
Wewe kumbe uliona kama mimi!
. Kuna namna huenda Nchimbi alimfokea kwa yaliyotokea!

Hata kwenye kupiga picha alikuwa anakaa mbali kabisa na nchimbi
Kuna wakati chura anamuogopa makamu wake vile, hataki hata kukutanisha nae macho, anataka kiwete ndo awe makamu km vile, maana kwenye hafla anatumia muda mwingi kuteta na hawara yake
 
Back
Top Bottom