CCM Kizimkazi tayari wanamsagia kunguni Emmanuel Nchimbi

Kuna siku magufuli alisema kwenye Mkutano kuwa chaguo lake la makamu ili kuwa ni mwinyi au mbarawa na alikuwa anajutia sana kumchagua chief lubengula.kwa Sasa ndiyo nimeielewa kauli yake ya kujuta maana asingemchagua huyu mhuni tusingepoteza mamilioni na mamulioni ya watu kwenye maandamano ya amani oc 29
 
Nadhani Nchimbi siyo oyaoyq kama yule aliyemaliza muda wake. Ukiwatazama Nchimbi na Samia siku ile wanachukua form zao za ushindi utajua kuna kitu hakiko sawa kabisa. Camera man alijitahidi sana kukwepesha vitu vingine.
Wewe kumbe uliona kama mimi!
. Kuna namna huenda Nchimbi alimfokea kwa yaliyotokea!

Hata kwenye kupiga picha alikuwa anakaa mbali kabisa na nchimbi
 
Kwasababu baadhi ya watanzania wameamua kutuuza
 
Uzuri Nchimbi akilianzisha anaweza kupata sapoti kubwa sana CCM na nje ya ccm Japokua nae ni mwanamtandao
 
Nadhani Nchimbi siyo oyaoyq kama yule aliyemaliza muda wake. Ukiwatazama Nchimbi na Samia siku ile wanachukua form zao za ushindi utajua kuna kitu hakiko sawa kabisa. Camera man alijitahidi sana kukwepesha vitu vingine.
Eneo lake la kazi ni mazingira na muungano, deputy president wa kwetu hana mambo mengi ndio maana kipindi fulani ilionekana ni "kazi ya kukata utepe"
 
Karamu ya damu walioimwaga haitawaacha salama, na watauana mpaka basi.

Wakimalizana tunadai waturudishie ndugu zetu watanganyika
 
Walimdhibiti Mpango. Ngoja tuone kwa huyu mafia wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…