cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Nov 12, 2025 #61 Victoire said: Wote wanawindana. Atakaemuwahi mwenzake sijui nani. Click to expand... Kweli wanawindana hawa.
Victoire said: Wote wanawindana. Atakaemuwahi mwenzake sijui nani. Click to expand... Kweli wanawindana hawa.
Wazo la kabwela JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1,901 Reaction score 1,511 Nov 15, 2025 #62 Wazo la kabwela said: Nchimbi sio mtu wa kuyumbishwa hovyo.. magufuli mwenyewe alimwogopa akamtupa brazil asimsumbue... itakua mama abdul??? Click to expand... Alimwambia magu wazi wazi . Magu akanywea
Wazo la kabwela said: Nchimbi sio mtu wa kuyumbishwa hovyo.. magufuli mwenyewe alimwogopa akamtupa brazil asimsumbue... itakua mama abdul??? Click to expand... Alimwambia magu wazi wazi . Magu akanywea
Wazo la kabwela JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1,901 Reaction score 1,511 Nov 15, 2025 #63 coscated said: Eneo lake la kazi ni mazingira na muungano, deputy president wa kwetu hana mambo mengi ndio maana kipindi fulani ilionekana ni "kazi ya kukata utepe" Click to expand... Sio lazima anaweza kupewa eneo lolote hata TAMISEMI, utumishi n.k ni uamuzi tuu
coscated said: Eneo lake la kazi ni mazingira na muungano, deputy president wa kwetu hana mambo mengi ndio maana kipindi fulani ilionekana ni "kazi ya kukata utepe" Click to expand... Sio lazima anaweza kupewa eneo lolote hata TAMISEMI, utumishi n.k ni uamuzi tuu
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 26,224 Reaction score 71,873 Nov 16, 2025 #64 Crimea said: Wewe kumbe uliona kama mimi! . Kuna namna huenda Nchimbi alimfokea kwa yaliyotokea! Hata kwenye kupiga picha alikuwa anakaa mbali kabisa na nchimbi Click to expand... Kuna wakati chura anamuogopa makamu wake vile, hataki hata kukutanisha nae macho, anataka kiwete ndo awe makamu km vile, maana kwenye hafla anatumia muda mwingi kuteta na hawara yake
Crimea said: Wewe kumbe uliona kama mimi! . Kuna namna huenda Nchimbi alimfokea kwa yaliyotokea! Hata kwenye kupiga picha alikuwa anakaa mbali kabisa na nchimbi Click to expand... Kuna wakati chura anamuogopa makamu wake vile, hataki hata kukutanisha nae macho, anataka kiwete ndo awe makamu km vile, maana kwenye hafla anatumia muda mwingi kuteta na hawara yake