Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtume hakutoa ahadi kwamba atarudi, yeye alikufa mazima.Kwa Upinzani huu dhaifu uliopo nchini Tanzania ni kheri CCM itawale Tanzania mpaka pale Yesu Kristo na Mtume Mohammed SAW watakapokuja Kutukomboa na kutupeleka Mbinguni kwa Mungu Baba.
Cc: Prof Koboko
ccm hawatakubali kwani chaguzi zote huwa wapinzani wanashinda tu mbona,masikini maalim seif hadi anaingia kaburini alikuwa anawagaragaza ccm zenji kila chaguziMimi najiuliza suali moja:- Ikiwa ccm hawaitaki katiba mpya hivi kweli watakubali mpinzani ashinde?
Lunatic
Hivi kweli upinzani ungekuwa dhaifu, CCM wangekuwa na haja ya kutegemea nguvu kubwa ya DOLA kuhalisha uvunjaji wa katiba, kamatakamata ya Polisi na abra kadabra ya ma DED/NEC?Kwa Upinzani huu dhaifu uliopo nchini Tanzania ni kheri CCM itawale Tanzania mpaka pale Yesu Kristo na Mtume Mohammed SAW watakapokuja Kutukomboa na kutupeleka Mbinguni kwa Mungu Baba.
Cc: Prof Koboko
Labda ulikuwa bado kuzaliwa, Tanzania ilikuwa ndio nyumbani kwa wapigania uhuru wa nchi za kusini mwa Afrika.Mbowe yupo jela wewe umelala una chati,alafu unataka kuitoa madarakani CCM wewe,watu hawapo tayari kwenye mabadiliko hii nchi,BBC,CNN,AL JAZEERA sahivi wangekuwa hapa Bongo wanaripoti habari ya kinuko.na CCM wenyewe wanajua fika hawa wapinzani bado sana.
Watanzania ndio wanaamua ccm iendelee kuongoza wala kwa mapenzi yako na wenzako hamuwezi zuia. Ni kitu watanzania wanaamua kwa kura zao ingawa utasema sio kweli ni kweli. Marekani democrates na republican wanaongoza. Uingereza conservatives na kile kingine. Mbona wananchi hua hawachagui vingine wakati vipo? La msingi kuna amani uhuru na serikali inafanya kazi kuleta maendeleo. Kuna nchi kama saudia wala hakuna chama. Kuna nchi kama uchina kuna chama kimoja. Siku watanzania watataka mabadiliko hakuna atawazuia hata ccm haitaweza.Hata mtoto mdogo wa miaka miwili anaelewa fika kabisa CCM kwa sasa wanajimilikisha kiharamu. Hawana uhalali wowote kutoka kwa Mungu wala kwa wapiga kura ndio maana wamekatalia wamebakia kutumia nguvu kuwabambikia kesi wapinzani na kuwateka na kuwapoteza.Hata siku hakuna mabavu yaliyowahi kushinda haki, hakuna giza lililowahi kushinda nuru.
MADAI YA KATIBA MPYA
Madai ya katiba mpya ni msumari wa moto CCM kwa sababu wanaelewa fika kabisa kwamba katiba mbovu iliyopo ndiyo inayowapa uhalali wa kusalia madarakani. Katiba mbovu yenye vyeo vya wakuu wa wilaya na mikoa ambao kazi yao kuu ni kuhakikisha kua CCM inasalia madarakani ndio maana maagizo mengi ya Polisi kutumia nguvu yanatoka kwao kushinikiza wapinzani wakamatwe.
Tunahitaji katiba mpya isiyowatambua wakuu wa Wilaya na mikoa ambao hata ya Warioba iliwakataza na badala ya yake tawala za mikoa na wilaya zibaki chini ya Makatibu tawala na Wakurugenzi ambao kimsingi ndio watumishi wa umma na siyo wajumbe wa kamati za siasa za CCM. Huwezi kuvaa nembo ya chama halafu ukahudumia rais wote na wale wasiokua na nembo ya chama chako.
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI IWE HURA NA YA HAKI
Hakuna asiyefahamu kua Makada wa ccm ndio waliopewa wajibu mkubwa wa kusimamia uchaguzi, mfano ni huyu mkurugenzi wa NEC ambaye kimsingi ni kada wa CCM hakuna asiyejua, huyu ni Agent wa ccm halafu leo hii useme tuna tume huru ya uchaguzi? Lini atasimamia haki?
Kuwepo na tume ya kijaji itakayosimamia mchakato wa kuwapata viongozi wa NEC kuanzia ngazi ya mwenyekiti hati wakurugenzi wake. Wilayani na mikoani kuwepo na Makamishna wa NEC ambao wataomba kazi za kuajiriwa na kupitia usaili badala ya kutumia wakurugenzi wa Halmashauri ambao wana kazi nyingi na wengi wao kwanza hawana taaluma za fani za kusimamia haki za kisiasa kama vile wanasheria na wenye taaluma za sayansi ya siasa.
JE, NI KWELI WAPINZANI WANAWEZA KUONGOZA NCHI?
Hili ni swali la kitoto kabisa ambalo CCM wamekua wakiwaaminisha wananchi eti wapinzani bado hawana uwezo wa kuongoza nchi wakati huo huo kwenye teuzi wakuu wa wilaya na mikoa wamejaza wapinzani ambao wengi wao walilelewa upinzani. Maana yake kama upinzani umejazwa serikalini tayari Opposition ndani ya CCM itakua ni kubwa maana hawa walifuata vyeo na siyo itikadi ya chama, mtu ameingia CCM leo halafu kesho mkuu wa wilaya,ameisomalini itikadi na falsafa ya chama?
Kwahiyo mpaka hapa CCM kikae kikitambua kua muda wowote kinaweza kuumana. Upinzani unaweza kuongoza na kutawala nchi hii na ukaiendesha kwa amani na si kwa maigizo wanayoyafanya wao. Kama hawaamini wapinzani mbona wengi wao ni wakuu wa wilaya na mikoa? Au kwa vile wanamiliki kadi za CCM? Nyoyoni mwao ni wanaccm kweli?
Hawa wote nina uhakika siku upinzani ukichukua nchi watarudi wote, trust me!
CCM KIACHE MAZOEA WAKIAMINI DOLA ITAWALINDA MILELE
Naomba kuhitimisha kwa kusema dola hii ni CHADEMA,CUF,ACT,NCCR na vyama viingine kama ilivyo kwa CCM. Dola hii hii ndani yake imeajiri vijana ambao wazazi wao na ndugu zao ni wapinzani, si wote wanaofurahia unyanyasaji unaofanywa na baadhi ya viongozi wao dhidi ya wapinzani.
Dola hii hii kesho na kesho kutwa itakua chini ya upinzani na inatambua hilo, haiwezi kuibeba CCM kiazi kama wanavyofikiri na zaidi wanafanya Viongozi wao wa juu ambao wanalinda maslahi yao na wanajua kesho wanaostaafu na hawatakutana na utawala wa wapinzani.
Muwe na weekend njema!
CCM iache sikio la kufa!
Maendeleo hayana chama!
Si upinzani huu wetu wa kuongoza harakati za ugaidi na kuwa vibaraka wa mabepari. Watanzania tutaendelea na CCM tuHata mtoto mdogo wa miaka miwili anaelewa fika kabisa CCM kwa sasa wanajimilikisha kiharamu. Hawana uhalali wowote kutoka kwa Mungu wala kwa wapiga kura ndio maana wamekatalia wamebakia kutumia nguvu kuwabambikia kesi wapinzani na kuwateka na kuwapoteza.Hata siku hakuna mabavu yaliyowahi kushinda haki, hakuna giza lililowahi kushinda nuru.