Tungekuwa na mahakama huru, kesi aliyofungua Malisa ilikuwa inakwenda kumaliza mchezo.Mzee, wewe na mgombea mwenzako mmejipitisha ki ujanja ujanja - mmevunja katiba ya CCM na hilo ni kosa kubwa sana la kimaadili.

Kwa kweli record imevunjwa.Je, wajua kwamba ni mara ya kwanza na ya mwisho katika historia ya nchi Mwenyekiti wa CCM na Karibu mkuu wake kujiteua wenyewe kugombea nafasi ya Raisi na makamu wa Raisi?
Wakuu!
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, anazungumza na Wanahabari mchana huu katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Dkt. Nchimbi amesema maandalizi ya kampeni yanahitaji nguvu ya kifedha, ikiwemo ununuzi au ukodishaji wa magari, uchapishaji wa vipeperushi, mabango, tisheti, kanga, mafuta na gharama nyinginezo.
"Kwakuwa kila chama kinachoenda kwenye uchaguzi kinakuwa na maandalizi ya kampeni, na CCM inafanya hivyo na moja ya maandalizi muhimu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kuwa na nguvu ya fedha”, amesema Dkt. Nchimbi.
Amefafanua kuwa miezi michache iliyopita CCM ilitangaza idadi ya wanachama wake waliokuwa zaidi ya milioni 12, hatua iliyosababisha hamasa kubwa ya kutaka kuchangia kampeni. Hadi kufikia asubuhi ya Jumatatu, chama hicho kimefikisha wanachama waliosajiliwa kidijiti zaidi ya milioni 13.19.
"Sasa kutokana na hamasa ya wanachama wetu tumesema sasa tuwashirikishe sasa katika uchangiaji. Kwahiyo Kamati Kuu ya CCM iliamua tufanye harambee ya kutafuta fedha ambayo tunakusudia kuifanya kesho…katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan"
Harambee hiyo inatarajiwa kushirikisha wanachama wa CCM kutoka maeneo mbalimbali nchini pamoja na wadau wa chama hicho, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kukabiliana na ushindani wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Wakuu!
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka."
"Lakini hatutapokea michango inayodhalilisha utu ama heshima ya Taifa. Tutapokea kila aina ya mchango kutoka kwa Watanzania. Atakayechanga Tsh.500, Tsh. 1,000, Tsh. Milioni moja wote tutapokea. Hata wale ambao hawana mapenzi na CCM tunawaomba na nyie mtuchangie."

Mmmmm maumivu yakizidi muone Daktari.Kupitia open society foundation uneshapa buku 5 kutoka Kwa Maria Sarungi.. ndiyo maana siku hizi Chadomo mnashindana kupost social.media..Je, wajua kwamba ni mara ya kwanza na ya mwisho katika historia ya nchi Mwenyekiti wa CCM na Karibu mkuu wake kujiteua wenyewe kugombea nafasi ya Raisi na makamu wa Raisi?
Mnaiba hela serikalini mnakuja kuhalalisha Kwa michango?🙏
CCM ni chama kikubwa sana 😄
Wanatumia nguvu eti shoka kudondosha mpapai wakati kiwembe tu mpapai unadondokaKampeni hizo wanaenda kushinda na nani?
Maana mgombea ni batili kuanzia chamani hadi mtaani.
Tume ina makada wa kijani tupu.
Huo utakuwa ni uchaguzi au uteuzi.
Waache kupoteza kodi za watanzania.
Tunacheka tu, ila hii fact inaidhalilisha sana ccm.Je, wajua kwamba ni mara ya kwanza na ya mwisho katika historia ya nchi Mwenyekiti wa CCM na Karibu mkuu wake kujiteua wenyewe kugombea nafasi ya Raisi na makamu wa Raisi?