GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mzee, wewe na mgombea mwenzako mmejipitisha ki ujanja ujanja - mmevunja katiba ya CCM na hilo ni kosa kubwa sana la kimaadili.
Tungekuwa na mahakama huru, kesi aliyofungua Malisa ilikuwa inakwenda kumaliza mchezo.
 
Hiyo saa 6 mchana sijui ni kwa muda wa nchi gani!
 
Wanamfukuza uanachama slow slow au?
 
Tone tone?
Ndiyo maana leo mtandao uko vizuri
Hivi Mkata switch wa Kimara hawezi kujilipua hapo?
 
Kampeni hizo wanaenda kushinda na nani?

Maana mgombea ni batili kuanzia chamani hadi mtaani.

Tume ina makada wa kijani tupu.

Huo utakuwa ni uchaguzi au uteuzi.

Waache kupoteza kodi za watanzania.
 
Nimecheka vibaya, ccm inaitisha harambee kuhadaa watu,hela zao wanatoa hazina, kwa wauza unga na wakwepa kodi. Waache hadaa za kutoto.
 
pesa si tatio ccm mbinu ya kutaka kujionyesha wanaugwa mkono na nani haungi mkono,
na wengi kama kawaida watafanya unafiki
 
Je, wajua kwamba ni mara ya kwanza na ya mwisho katika historia ya nchi Mwenyekiti wa CCM na Karibu mkuu wake kujiteua wenyewe kugombea nafasi ya Raisi na makamu wa Raisi?
Mmmmm maumivu yakizidi muone Daktari.Kupitia open society foundation uneshapa buku 5 kutoka Kwa Maria Sarungi.. ndiyo maana siku hizi Chadomo mnashindana kupost social.media..
 
Hiyo sio harambee ya kitaifa, ni unyang'anyi wa kitaifa.

Hapo kinachotekea ni wafanyabiashara kutumiwa vi note vya kutakiwa 'kuchangia' kiasi cha fedha. Japo inaandikwa ni mchango, uhalisia huwa ni amri.

Sasa ole wako ukaidi.
 
Mtu na akili zake timamu hawezi kuichangia ccm yenye kila aina ya Ukwasi, wizi na kujimilikisha mgodi wa makaa ya mawe Mji mdogo wa Ruanda wilaya Mbinga, wakachukuwe pesa huko.

Ccm ni mataahira labda awachangie Rostam Aziz na familia ya Kikwete wanaonufaika na mfumo.
 
Nyie wivu unawasumbua mana nanyi na tonetone yenu watu wamenyuti

sasa CCM nao kutafuta pesa kwa wananchi kwenu tatizo kubwa ¿¿

mmesaau nchi bado ipo chini ya CCM..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…