Tetesi: CCM kufukuza Wanachama 11 wakiwemo Vigogo hawa 3

Tetesi: CCM kufukuza Wanachama 11 wakiwemo Vigogo hawa 3

Taarifa kutoka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CCM zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa katika Kikao kijacho cha CCM takribani Wanachama 11 wakafutiwa Uanachama ambapo ndani yao wapo Vigogo Watatu ambao ni Nape Nauye, Hussein Bashe na Msukuma.

Nape na Bashe wanafukuzwa baada ya kugundulika kuwa wanatumika na Chama cha Upinzani CHADEMA huku Msukuma anafukuzwa kwa kosa la kuwa mropokaji, mweneza chuki na mtu asiye mkweli kwa Wanachama wenzie.
Ramli ishaanza
 
Back
Top Bottom