Tetesi: CCM kufukuza Wanachama 11 wakiwemo Vigogo hawa 3

hapo ndipo utagundua viongozi wa CCM na serekali yake wanavyoendekeza matumbo.
wapo radhi hata chekechea huyu awalishe hata kinyesi ilimradi tu matumbo yao yawe salama...
uhuru wa kweli kwa Mtanzania si ule wa kumwondoa mkoloni bali kuifutilia mbali CCM!
Daud Bashite kwa sasa ndiyo Mwenyekiti kivuli wa CCM anachokiamua yy ndicho kinakuwa sheria
 
Taarifa kutoka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CCM zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa katika Kikao kijacho cha CCM takribani Wanachama 11 wakafutiwa Uanachama ambapo ndani yao wapo Vigogo Watatu ambao ni Nape Nauye, Hussein Bashe na Msukuma.

Nape na Bashe wanafukuzwa baada ya kugundulika kuwa wanatumika na Chama cha Upinzani CHADEMA huku Msukuma anafukuzwa kwa kosa la kuwa mropokaji, mweneza chuki na mtu asiye mkweli kwa Wanachama wenzie.
Hivi uzushi unalipa eeeh au uzushi ni kazi?
 
Hahaaa, wasiokubali nyeusi kuitwa nyeupe ndio watakaoondolewa
 
Well, hii ni tetesi na si busara sana kujadiri tetesi. Hata hivyo, hili likitokea kweli itakuwa sawa na Chama kujaribu kukimbia kivuli chake. Kuwafukuza hao jamaa kuna hasara nyingi zaidi ya faida. Ninafikiri Magu is too smart to realize that. Wise people normally keep their "enemies" closer - in order to watch their every move.
 
The opposite is the truth
 
Wamfukuze tu huyo Nape aje kwetu tumwite shujaa na tumpe nafasi ya ukatibu mkuu.
 
Taarifa kutoka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CCM zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa katika Kikao kijacho cha CCM takribani Wanachama 11 wakafutiwa Uanachama ambapo ndani yao wapo Vigogo Watatu ambao ni Nape Nauye, Hussein Bashe na Msukuma.

Nape na Bashe wanafukuzwa baada ya kugundulika kuwa wanatumika na Chama cha Upinzani CHADEMA huku Msukuma anafukuzwa kwa kosa la kuwa mropokaji, mweneza chuki na mtu asiye mkweli kwa Wanachama wenzie.
Mwisho wa CCM hauko mbali
 
We baba uliye juu Na uyasemayo yawe kweli no Faraja kwa watanzania walioko ktk mate so kwa kukosa watetezi,hii ndo nafasi pekee kwa bashe Na nape kuungana Na upinzani kuiua ccm Na mipanya buku yao
 
Back
Top Bottom