MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Tayari ni haramu,, hata wakibadili1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form
2. Ulazima wa kutafuta wadhamini
3. Ulazima wa majina matatu
4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu
Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
Tume ya uchaguzi imesha toa ratiba ya uchaguzi, wagombea wamesha julikana tayari yalio bakia ni maswala madogomadogo ya legality ya chama na hatabadilisha lolote.1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form
2. Ulazima wa kutafuta wadhamini
3. Ulazima wa majina matatu
4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu
Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
Hiyo kali sana,tamaa mbaya sanaMpira uko dakika ya 13. Timu inaomba sheria za mpira zibadilishwe???
Hilo ni Jaribio la UHAINI.1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form
2. Ulazima wa kutafuta wadhamini
3. Ulazima wa majina matatu
4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu
Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
wanajaribu kugeuza nyekundu kuwa njano na kubadili haramu kuwa halali.1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form
2. Ulazima wa kutafuta wadhamini
3. Ulazima wa majina matatu
4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu
Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
Wewe ni mwasherati uliekubuhu.Unapaswa kutubu.Hivi kwa mfano ukikosea kuingiza tundu ambalo silo kwa makusudi au bila kukusudia. Halafu ukiambiwa umekosea hilo tundu silo, je, utaendelea kuingiza tundu hilo hilo sababu umeshaanza na kunogewa? Au utapaswa kuacha na kuingiza katika tundu linalostahili?
Nimeuliza tu swali wajameni msinifikirie vibaya.
Aibu sana hiyooooMpira uko dakika ya 13. Timu inaomba sheria za mpira zibadilishwe???
Hujui Sheria wewe?! Acha kueneza ujinga wako! Sheria haifanyi kazi kinyumenyume ( retrospectively).1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form
2. Ulazima wa kutafuta wadhamini
3. Ulazima wa majina matatu
4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu
Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
Umejuaje kama mimi ni muasherati? Basi wewe ni muasherati mwenzangu ndio maana tunajuana tabia zetu.πππWewe ni mwasherati uliekubuhu.Unapaswa kutubu.
Sawa mwanasheria wa keyboard.Hujui Sheria wewe?! Acha kueneza ujinga wako! Sheria haifanyi kazi kinyumenyume ( retrospectively).