Tetesi: CCM kufuta Kanuni hizi ili mgombea wao asipate vikwazo

Tetesi: CCM kufuta Kanuni hizi ili mgombea wao asipate vikwazo

1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form
2. Ulazima wa kutafuta wadhamini
3. Ulazima wa majina matatu
4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu

Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
Kwamba CCM hakuna mgombea mwingine bora kuliko yeye?? Ni lazima kuipaka mafuta katiba ili aseleleke
 
Tume ya uchaguzi imesha toa ratiba ya uchaguzi, wagombea wamesha julikana tayari yalio bakia ni maswala madogomadogo ya legality ya chama na hatabadilisha lolote.
Comred waambie mama ni mpaka 2030..polepole na genge lake wakajiajiri maana Hana kazi tena
 
1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form
2. Ulazima wa kutafuta wadhamini
3. Ulazima wa majina matatu
4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu

Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
Kwamba baadaye itarekebishwa tena kuzirudisha? Au ndio zitabaki hivyo kwa chaguzi zijazo kama ilivyokuwa kabla? Ngoja tuone.
 
Mama asingekuwa mtoto wa haram kwenye sakata hill angejiuzuru abaki na heshima zake.
 
1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form
2. Ulazima wa kutafuta wadhamini
3. Ulazima wa majina matatu
4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu

Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
ID ya 2011.
 
Tume ya uchaguzi imesha toa ratiba ya uchaguzi, wagombea wamesha julikana tayari yalio bakia ni maswala madogomadogo ya legality ya chama na hatabadilisha lolote.
Too late , tuko Agust sasa, lakini mpaka sasa hakuna chama kimeshatoa mgombea.

Huu mwaka sio wa kawaida
 
Back
Top Bottom