CCM kuhusu CHADEMA jifunzeni kwa mfano wa Kaini na Habili

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Kwenye Biblia kuna masimulizi ya wana wawili wa Adamu na Hawa, ambao ni Habili na Kaini.

Biblia inasimulia kuwa Kaini ambaye alikuwa ni mkubwa alikuwa Mkulima wakati mdogo wake Habili alikuwa ni mfugaji.

Inasemwa kuwa Kaini aliona wivu jinsi mdogo wake Habili sadaka zake zilivyokuwa zinapokelewa na Mungu. Kaini akamuua mdogo wake wakiwa kondeni wakitoa sadaka.

Mungu alimuuliza Kaini alipo ndugu yake, Kaini akajibu akijiamini. " Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?" Mwanzo 4:9.

Basi Biblia inaendelea kusimulia kuwa hatimaye Kaini alilaaniwa na kuwekwa alama kwenye paji la uso wake ili asije akauawa kutokana na laana aliyopewa.

CCM ijifunze kuwa pamoja na kumuua nduguye Habili, bado Kaini hakupewa baraka zilizokuwa za Habili badala yake alilaaniwa.

Kama watu wanavouliza walipo ndugu zao waliouawa Tarehe 29Oktoba na kujibiwa kijeuri, ndivyo na Kaini alivomjibu Mungu kijeuri na kuishia kulaaniwa.

Hata kama CCM itafanikiwa kuiua CHADEMA (Mungu apishie mbali) bado CCM haiwezi kuzichukua baraka na rehema ilizonazo CHADEMA.

Kama Kaini hakupewa baraka za Habili CCM nayo haiwezi kuzipata baraka na rehema za CHADEMA badala yake italaaniwa na watanzania.
 
Sawasawa
 
ok.🐒
 
you have correctly corelated the biblical story and political situation in Tanzania with regards to CCM and Chadema.Ni juu ya CCM kupokea au kuendelea kukaidi
 
Uchaguzi ni wao... Maandiko yako ukutani...
 
Back
Top Bottom