Pre GE2025 CCM kukataa mabadiliko ya miswada 3 inayopigiwa kelele na wote ni wazi wana nia ovu. Watanzania tusikubali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kama una nia njema huwezi kukataa kitu ambacho watu 99.999% wanakipigania ila wewe tu mmoja unakataa. By necessary implication ni kuwa wewe una nia OVU. Katiak social science kuna WENGI WAPE as opposed to natural science, na hivyo CCM inabidi ikubali matakwa ya wengi.

Kuna mambo hayahitaji kusoma, darasani, ni common sense, intuition , logic etc etc. Refa hawezi kuwa mchezaji wa timu yenu, timu pinzani ataionea tu! It is a matter of common sense and logic!

Kuna kesi moja mahakamani katika cross examination aliulizwa swali: Ukikuta baba yako anapigana na mtu mwingine utamsaidia nani, akasema baba yangu. Ushahidi wake ulitupwa kwa sababu alionesha bias.

Unategemea Mkurugenzi asimsaidie CCM aliyempa ulaji?
 
Umeshasema, "refa hawezi kuwa timu A au B", anapaswa kuwa neutral.

Sasa je, katika hili sakata refa ni kutoka upande huru?
 
IMG_3869.jpg
 
tUM

TUME HURU ATAKUWA REFA HURU, MOST LIKELY
It's not likely to happen, ili ccm itoke madarakani lazima kuna jambo kubwa litatokea, hawa watu tayari wamekuwa waroho wa madaraka, kuwatoa itakuwa kazi ngumu sana, sio kwa 🗳
 
Hakuna chama cha hovyo kama Ccm tangj dunia kuumbwa
Leo kuna mbunge kasema wengi waliingia bungeni kwa kubebwa na wakurugenzi
 
Swadaktaaa!! Bila kuchapana na kuuana kamwe hatutapata katiba mpya itakayopelekea tuwe na Tume huru ya uchaguzi na demokrasia ya kweli.
Mchonga Meno, Setup aliyoiweka katika Taifa hili na CCM yake,
Ngumu Sana kuwaondoa CCM bila Kuchapana na kararuana Ngozi!

Kiufupi CCM Nchi imewashinda.
Wameshindwa Kila sekta...!

Ukitafakari na kulichambua Taifa la Tanzania/Tanganyika unapatwa na hasira kali sana!
 
Niyaombe msamaha Yale makundi yote yaliyokuwa yanaingia msituni kudai haki. Nilikuwa naona ni wabaya, ila Sasa hivi nimekuja kugundua kuwa walikuwa sahihi, ila Mimi niliamini propaganda za vyama vilivyokuwa vinang'ang'ania madarakani.
 
Nchi hii ukiwa na akili lazima uwe na stress
 
Niyaombe msamaha Yale makundi yote yaliyokuwa yanaingia msituni kudai haki. Nilikuwa naona ni wabaya, ila Sasa hivi nimekuja kugundua kuwa walikuwa sahihi, ila Mimi niliamini propaganda za vyama vilivyokuwa vinang'ang'ania madarakani.
Kwa niaba yao nakusamehe kwa kudhani kuwa wanaodai haki kwa kungia msituni ni waovu
 
Keki ya marupurupu serikalini inawatosha ccm na chadema na wengineo, wakae tu wayamalize namna ya mgao. Wananchi watangoja sehemu yao huko mbeleni
 
Kama una nia njema huwezi kukataa kitu ambacho watu 99.999% wanakipigania ila wewe tu mmoja unakataa. By necessary implication ni kuwa wewe una nia OVU. Katiak social science kuna WENGI WAPE as opposed to natural science, na hivyo CCM inabidi ikubali matakwa ya wengi.

Kuna mambo hayahitaji kusoma, darasani, ni common sense, intuition , logic etc etc. Refa hawezi kuwa mchezaji wa timu yenu, timu pinzani ataionea tu! It is a matter of common sense and logic!

Kuna kesi moja mahakamani katika cross examination aliulizwa swali: Ukikuta baba yako anapigana na mtu mwingine utamsaidia nani, akasema baba yangu. Ushahidi wake ulitupwa kwa sababu alionesha bias.

Unategemea Mkurugenzi asimsaidie CCM aliyempa ulaji?
Umeshaambiwa ccm ni chama cha kichawi
 
Back
Top Bottom