CCM Kukubali Mjadala Katiba Mpya, Tumpongeze Rais Samia

Mbowe na CHADEMA walitaka toka enzi za JPM na hawakufanikiwa, pongezi za sasa zianze kwa aliyeridhia

..angestahili pongezi kama angekuwa ndiyo muanzilishi au muasisi wa mapendekezo ya katiba mpya.
 
Samia na Magufuli ni wanasiasa wenye haiba mbili tofauti kabisa waliounganishwa na CCM. Unaweza kusema nyuma ya SSH kuna ushawishi wa JK lakini pia yeye kama kiongozi wa sasa anazo hulka zenye kutofautiana na za awamu ya tano,
 
Aliyeasisi atapata nini kama mwenye madaraka sasa asiporidhia

..kuwa na madaraka haimaanishi kwamba unastahili sifa hata kwa jambo ambalo hujaliasisi.

..kungekuwa hakuna madai ya muda mrefu ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, halafu Raisi akaamua yete mwenyewe ku-introduce mambo hayo, then angestahili pongezi nyingi sana.
 
Labda CCM ya UAE,hawa wauaji hawawezi kuleta katiba mpya mpka siku bibie arudi kazimkazi
 
Kuasisi na kuamua kulitekeleza ni mambo mawili tofauti, kama huelewi hilo basi tukubaliane kutokukubaliana
 
Samia na Magufuli ni wanasiasa wenye haiba mbili tofauti kabisa waliounganishwa na CCM. Unaweza kusema nyuma ya SSH kuna ushawishi wa JK lakini pia yeye kama kiongozi wa sasa anazo hulka zenye kutofautiana na za awamu ya tano,
Labda
 
kama wamedhamiria heri.Lakini isiwe wametangaza ridhaa kumbe wameficha...
 
Kuasisi na kuamua kulitekeleza ni mambo mawili tofauti, kama huelewi hilo basi tukubaliane kutokukubaliana

..Ssh anastahili pongezi kwa kutuletea Watz Royal Tour.

..Watz tulikuwa hatuna habari nayo na wala hatukumuomba.

..Ssh aliona Royal Tour inatufaa na itasaidia utalii akaileta.

..Kwa msingi huo anastahili pongezi kwa kutuletea Royal Tour.

..Hili la Katiba limeasisiwa na wengine. Ssh si mmoja wao. Hastahili pongezi wala sifa kwa wakati huu.
 
Wewe wasema
 
Mbowe alivuruga mchakato kipindi cha Kikwete

Kikwete alikuwa na nia nzuri kabisa kwenye issue ya katiba

Sasa kipindi kikiwa Critical cha kutafuta katiba mpya Chadema wakaanzisha vurugu za kutaka nchi isitawalike

Wakihamasisha maandamani,migomo ya sekta muhimu kama walimu ,madaktari ,delta za usafirishaji no
Katika vya vya wajinga duniani Chadema inaongoza .Nchi zote za vyama vya upinzani vinavyojitambua hujikita agenda kuu moja basi.Walitaka katiba mpya ok Kikwete akasema hamna shida vipate.kuona wameshinda hiyo hoja Chadema hawakutulia kuwa tutulie upate katiba kama Kenya walivyotulia na nchi kibao.Wao wakaanza vurugu nchi isitawalike ndipo.CCM ikaona wajinga hawa ndio ikamleta Magufuli akawanyoosha barabara na katiba mpya akaitupa huko kwenye shelf

Swali CCM imeridhia katiba mpya ipatikane mtatulia au mtaluanzisha ili mlazimishe CCM imlete Magufu6 mwingine 2025?
Kwa nini hakutulia kipindi cha Kikwete mkampa hard time wakati yuko kwenye mchakato wa kuleta katiba mpya?

Sasa walau Chadema mba utulivu.Katiba mpya huhitaji utulivu sio vurugu

Kwa utulivu huu wa sasa itapatikana Chadema msihofu inakuja
 
Changa la macho tu, kwani enzi za mlamba asali ilikuwaje?. Huwajui CCM wewe.
 
Mbowe ndiyo alikuwa Mwenyekiti wa bunge la Katiba?
 
M
My God who be witched Danganyinkans?? Hamna maajabu yoyote hapo katiba hii ilitungwa kumlinda mkoloni nasikitika wenyeji walipigania uhuru bila kujua uhuru wao unachagizwa na nini, muulize Warioba hii chereko si mara ya kwanza kuandaliwa.
 
Kila jamii ina TOMASO wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…