johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hayati Magufuli aliweza kujenga barabara na miundombinu yake tangu akiwa waziri wa Mkapa hadi anakuwa Rais lakini watanzania hawakuliona hilo
Wajazeni wananchi fedha mifukoni ndipo mtaiona furaha yao na CCM itang'ara vinginevyo inaonekana kana kwamba maji yanotolewa mtoni na kuingizwa baharini kama Masoud kipanya alivyotuchorea jana
Mitaani kwa akina mzee Mgaya mambo siyo poa kabisa!