johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unamshangaa kamanda mwenzako? π€£ π€£ π€£Ahaaa kamanda.
CCM inatugeuza inavyo jisikia. Sawa lakini wakati wao huu.Haki CCM inajua kuf!ra!π€‘π€‘π€‘
Nikiangalia hii nchi inavyoenda kiundani-naona giza totoro kabisa. CCM & upinzani hawamtaki huyu mama kwa mambo yake ya hovyo,kundi ambalo linam-support huyu mama limejificha chini ya kivuli cha udini na ukanda (Wanamtetea kwa sababu ni mwana dini mwenzao au mzanzibari mwenzao).Mbeleni kunaweza kuzuka mambo ya udini au ueneo sana na yatakuwa hatari kwa usalama wa taifa hili.CCM inatugeuza inavyo jisikia. Sawa lakini wakati wao huu.
Wanatugeuza geuza kama chapati ya Mama ntilie!πππCCM inatugeuza inavyo jisikia. Sawa lakini wakati wao huu.
Hata Kigwangalla alisema hivyo hivyo!Ukishinda vijiweni na kusubiri pesa kutoka serikali utasubiri mpaka uzeeni. Jielimishe na fanya miradi hata kama midogo ya kilimo. Jiunge na vikundi kwa uwekezaji kusubiri na kulalamika haisaidii
Wajazwe bila kufanya kazi,kila mtu awajibike kivyake.Hayati Magufuli aliweza kujenga barabara na miundombinu yake tangu akiwa waziri wa Mkapa hadi anakuwa Rais lakini watanzania hawakuliona hilo
Wajazeni wananchi fedha mifukoni ndipo mtaiona furaha yao na CCM itang'ara vinginevyo inaonekana kana kwamba maji yanotolewa mtoni na kuingizwa baharini kama Masoud kipanya alivyotuchorea jana
Mitaani kwa akina mzee Mgaya mambo siyo poa kabisa!
Huoni kwamba wanadhulumiwa pesa walizofanyia kazi kwenye tozo zisizo na kichwa wala miguu, yaani mijizi mliobweteka na mitumbo yenu mara zote mnawaona watanzania siyo watu wa kupenda kufanya kazi, mb.wa nyie...Wajazwe bila kufanya kazi,kila mtu awajibike kivyake.