Waongo kweli kweli. Najua Magige alikuwa njiani kwenda dodoma na msafara.Ooh,hii nimeisoma hapa hapa kwa member mmoja huko nyuma anaedai alikuwepo Hospital wakati Marehemu analetwa Hospital kwa gari ya Crown nyeusi akashuka akiwa anapepesuka na kisha kuomba aitiwe Mkewe Aziza.Asante kwa sahihisho Mkuu [emoji1666][emoji1666]