CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Waongo kweli kweli. Najua Magige alikuwa njiani kwenda dodoma na msafara.
 
Mkatoliki anaruhusiwa kuoa ndoa mtu wa dini nyingine kwa sheria yao ya NDOA YA MSETO na ya mke mmoja. Hivyo kwa Aziza anatambulika kama mke halali wa marehemu. Ndoa ya Kikatoliki haivunjiki kirahisi. Ndio maana marehemu alipoona hali ya afya yake si nzuri alifanya toba kwa Padre na kurudishwa kundini, la sivyo asingezikwa kidini. Aziza hatujui msimamo wake kidini, je kama alibadili dini? Ila kidini na kiserikali Aziza ni mke halali wa marehemu na Carherine alikuwa girlfriend wake.
 
HAKI ZA WANAWAKE sijui mko wapi kumtetea Magige asionewe. Kwani sheria inasemaje mwanamke akikaa na mwanaume zaidi ya miezi 6
Hana haki. Kwanza sheria haisemi miezi 6 unapotosha, ni miaka miwili. Pili sheria hiyo inaelekeza kuwa hao wanaoishi pamoja wawe hawana ndoa ilio hai.
 
Muislam haruhusiwi kuolewa na asiye Muislam, kwa hiyo Aziza anachukuliwa anazini na anafanya kufuru na kama kaolewa nje ya Uislam na hataki kutubu, anachukuliwa kuwa kajitoa katika Uislam.

Hiyo sheria ya "mseto" ni ya biblia au ya nchi au ya kanisa hilo tu?
 
Hapa umedanganya! Ni jamaa mmoja aliyemtonya Aziza; Aziza ikabidi a confirm kwa shemeji yake aliyekuwa na marehemu hospitali.
Hapana, Sina interest yoyote kwenye hili swala, nilikuepo pale, marehemu aliletwa na crown nyeusi, akashuka anapepesuka Sana alkua na maumivu na alikua anamwambia yule dreva nijitie mke wangu aziza, alkua anasema nisamehe mke wangu KABLA hajakata roho. Sijahadithiwa, nilikuepo pale kwenye sindano. Kaka wa marehemu alifika pale na baada ya marehemu kuaga dunia, na alielezwa Yale akampigia simu huyo Aziza
 
Uke ndo ukweli, na sijahadithiwa nilikuepo, na walikueponpia WATU wengine wakingoja huduma. Sina interests zozote na huyu bwana. Ukweli kazima usemwe. Kaka wa marehemu alifika pale tayari mdogo wake alishakata roho.
 
Acha upuuzi naweza kukueleza aliyemtaarifu Aziza. Muache kudanganya hapa JF. Shut up
 
Mwacheni....mbona kura huwa mnaibaga wote!!
 
Dr .. what!!!!???[emoji1]
 
Moderators wamei lock hio thread huwezi kukomenti

Catherine ruge atakuwa kawa konsalti[emoji1787][emoji1]
 

Huko kwingine unakokwenda kulala na kumuacha mkeo ndani hata kama ni miezi kumi na miwili, unakwenda KUNGONOKA tu!!!
 
Unatetea upambafu ambao hata chama chako kimekemea. Aibu yako unatetea kahaba mwenzako.
Hakuna wadangaji waliobobea kama chadema
Nikikumbuka kina Tundu walivyomdangia lowasa nabaki tuu kujichekea hihiiiiiiiiiiiii
 
Tangu TCRA wamepandisha vifurushi naona umepigwa daflao maana fujo zako zoote hapa jamvini zimekwisha kudadadeeki.

Chakubanga naye hali ya kiuchumi ni tia maji tu maana lumumba katimuliwa.
Ahahahahaa tatizo mizunguko imekuwa mingi nilikua brunei kwa mara nyingine tena sijasahau zawadi yako ya bips zenye reflect ulisema ziwe na mistari ya njano eeh
 
Ahahahahaa tatizo mizunguko imekuwa mingi nilikua brunei kwa mara nyingine tena sijasahau zawadi yako ya bips zenye reflect ulisema ziwe na mistari ya njano eeh
Umerogwa wewe siyo bure.
Wakati huo zamu yako ya ulinzi ulimwachia nani?[emoji23][emoji23]
 
Hapana banaa, ni kahabaaa[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…