CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Watakuwa wanamuonea. Kama aliishi na marehemu kwa miaka miwili alitakiwa apewe nafasi ya kuweka shada. Kwa kumfungia ndio wamelikuza jambo bila sababu. Walitakiwa kuhakikisha tu kuwa mpendwa wao anazikwa kwa heshima bila vurugu. Kitendo cha kufunga geti ndicho kilichosababisha vurugu. Na CCM hawana sababu ya kuingilia maana ni mambo ya kifamilia.

Hii ndoa inaonekana ilikuwa tayari ICU wakati umauti unamkuta jamaa. Kilichokosekana ni kijikaratasi tu.

Amandla. .
 
Well said, pia aisee pamoja na kugawa kote lakini bado mzuri sana. Pisi hatari
 
Huyu Shaka na CCM wameonyesha udhaifu mkubwa japo wanaweza kudhani wamefanya jambo la maana. Catherine ni mfiwa na kilichotokea kilipaswa kulaaniwa. Kwanini azuiwe kumzika 'mtu wake? Hapa CCM walitakiwa wakae kimya kwa kuwa wanataka kuingilia maisha binafsi ya Catherine. At this juncture huwezi kum label Catherine kuwa ni mvamizi! msiba hauna mvamizi...
 
Hawawezi kuheshimu familia.
 
Hujui ulisemalo. Huyo bwana kahama nyumbani mwaka Jana baada ya matokeo ya Kura. Na lilikua anakata roho alikuwa anaomba aitiwe mke wake aziza na alkua anamwonba msamaha, sijahadithiwa nilikuepo haponkwa Dr mohamed alipoingizwa kwenye chumba Cha sindano.
Lakini ni kwanini wale wapambe wa mbunge wavinje Ile gate, waingie msibani kwa nguvu, wamekuta ibada inaendelea hawakuheshimu Ile ibada mbunge akaweka shada... Halafu wakawa wanasema ccm hoyee na wapo na viongozi wa UWT? Kwanini waliingizwa mambo ya chama kwenye mambo binafsi???
 
Kwanini yeye Catherine na mob yake walikua wanatumia nembo za chama kimaneno na vitendo?? Kama ni mambo yao binafsi kwanini walkua wanasema "CCM hoyee" kwanini wengine walivaa kijan na njano??? Na kwanini waliambatana na viongozi wa UWT??? Huoni Ile fujo walkua wanafanya pale walikua wanakidhalilisha chama??? Namuunga mkono aslimia 100% ndugu Shaka Shaka. Hatutakubali watu wachafue image ya chama kiholela.
 

Wale Wadangaji walikuwa wamelewa chakari pamoja na Mdangaji wao mkuu huyo Magige. Wametia aibu kubwa sana
 
Daaah yule aliyeropoka ccm oyeee..! Ndio kaharibu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…