CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Ugomvi wao zaidi ya bwana kumbe ata viti maalumu huyo Aziza mke wa jamaa ndiye aliyeshinda kura za maoni Arusha sema jina alikurudi.

Wangemsikiliza yule mwenyekiti wa kijiji alieshuhudia sakata lote, uwezi kuzuia watu kwenda msibani hizo sio mila za kitanzania mwenye tatizo zaidi ni mke ambae katumia advantage yake vibaya.
 
Watakuwa wanamuonea. Kama aliishi na marehemu kwa miaka miwili alitakiwa apewe nafasi ya kuweka shada. Kwa kumfungia ndio wamelikuza jambo bila sababu. Walitakiwa kuhakikisha tu kuwa mpendwa wao anazikwa kwa heshima bila vurugu. Kitendo cha kufungq geti ndicho kilicho sababisha vurugu. Na CCM hawana sababu ya kuingilia maana ni mambo ya kifamilia.

Hii ndoa inaonekana ilikuwa tayari ICU wakati umauti unamkuta jamaa. Kilichokosekana ni kijikaratasi tu.

Amandla. .
Malaya akaweke shada kaburini? Kahaba? Hawara? Apewe nafasi? Kmmk kweli yulee kahaba. Ndoa ni moja tu kanisa katoliki. Na wamemchekea kweli. Alitakiwa kulishwa mitama. Kulala na mume wa mtu ndo heshima?
 
Watakuwa wanamuonea. Kama aliishi na marehemu kwa miaka miwili alitakiwa apewe nafasi ya kuweka shada. Kwa kumfungia ndio wamelikuza jambo bila sababu. Walitakiwa kuhakikisha tu kuwa mpendwa wao anazikwa kwa heshima bila vurugu. Kitendo cha kufungq geti ndicho kilicho sababisha vurugu. Na CCM hawana sababu ya kuingilia maana ni mambo ya kifamilia.

Hii ndoa inaonekana ilikuwa tayari ICU wakati umauti unamkuta jamaa. Kilichokosekana ni kijikaratasi tu.

Amandla. .
Itakua huyo mbwa malaya catherine ndo alivuruga hiyo ndoa.....
 
Hujui ulisemalo. Huyo bwana kahama nyumbani mwaka Jana baada ya matokeo ya Kura. Na lilikua anakata roho alikuwa anaomba aitiwe mke wake aziza na alkua anamwonba msamaha, sijahadithiwa nilikuepo haponkwa Dr mohamed alipoingizwa kwenye chumba Cha sindano.
Lakini ni kwanini wale wapambe wa mbunge wavinje Ile gate, waingie msibani kwa nguvu, wamekuta ibada inaendelea hawakuheshimu Ile ibada mbunge akaweka shada... Halafu wakawa wanasema ccm hoyee na wapo na viongozi wa UWT? Kwanini waliingizwa mambo ya chama kwenye mambo binafsi???
Mwelezeee vizuri huyo. Maana inashangaza. Hata anveishi na huyo malaya kwa miaka kumi bado ni kahaba na hawara tu. Nashangaa miaka mitatu ameitoa wapi kwanza. Yet ndoa haijavunjwa. Mungu huwa ni mkali sana hasa kwa hawa malaya wa mjini. Sasa aendelee kubaki na hizo hati kimkute kitu. Na anapasqa kufunguliwa mashtaka kw akuinvade makazi binafsi ya familia za watu na kufanya uharibifu. Na hizo hati tunaenda kuchukua rb zimeibiwa halaf tukapige pection hapo kwake aseme kazitoa wapi. Akisema amepewa na marehemu atueleze ni sheria gani zinamrugusu kuwa na mali rena hatimiliki za mume wa mtu
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa UWT Mkoa wa Arusha wakiongozwa na Mbunge wa Viti Maalum Catherine Magige.

CCM inaamini katika kujenga uimara wa familia, kuheshimiana ndani ya jamii na kuendeleza upendo katika familia halali, badala ya mivutano na uvurugaji usiokuwa na sababu.

Chama kinatafakari kwa undani kwa mujibu wa kanuni za maadili na Katiba ya CCM, na kuchunguza kwa kina ili kuchukua hatua za kimaadili kwa wote watakaothibitika kuwa sehemu ya matukio yaliyojenga kukiuka kwa katiba, kanuni na utamaduni wa kuheshimu na kuheshimiana uliojengeka ndani ya CCM.

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmshauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi
28 Mei 2021
IMG_20210524_113454_829.jpg
 
Ingekua ni enzi za mwendazake wallahi...hao walio vamiwa wangekiona cha mtemakuni na hakuna kitu mngemfanya huyo mdangaji.
 
Back
Top Bottom