Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Kumuita majina yote hayo hakusaidii kitu. Mwanaume ndio alimpenda na akalala nae. Hayo ya kanisa katoliki ni ya imani. Kuna tatizo gani yeye kuweka shada? Kunampunguzia nini Aziza? Au mnadhani kwa sababu kawwka shada ndio kutampa uhalali wa kudai urithi. Aziza kwa kufanya aliofanya ameonesha tu kuwa nae mshari. Asingefanya hivyo, angebaki na heshima yake na huyo nyumba ndogo ndie angeonekana mkorofi. Alitakiwa aonyeshe ukomavu wake lakini inaelekea ameshindwa. Sasa siku ya majonzi imegeuzwa ya kituko.Malaya akaweke shada kaburini? Kahaba? Hawara? Apewe nafasi? Kmmk kweli yulee kahaba. Ndoa ni moja tu kanisa katoliki. Na wamemchekea kweli. Alitakiwa kulishwa mitama. Kulala na mume wa mtu ndo heshima?
Amandla. .