Reaction yako ni kama ke na kama ni ke; naelewa sentiment zenu katika hili.Hiyo inahusikaje hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Reaction yako ni kama ke na kama ni ke; naelewa sentiment zenu katika hili.Hiyo inahusikaje hapa?
Wanamchukulia hatua kwani alienda pale kuiwakilisha CCM?
Mimi nilidhani jeshi la polisi ndio lingedeal naye kwa kosa la 'trespassing'
Watoto huiga toka kwa wazazi ...RIP Magu..! Wanao wanachafua regasi hukuTofautisha Catherine Ruge CPA wa CHADEMA na Catherine Magige malaya, mdangaji, mwizi wa waume za watu kutoka CCM.
HITIMISHO:Hata Kanisa linatambua “Separation” but bado hadhi ya Ndoa inabaki pale pale.
Hilo lipo wazi mkuu na TWAWEZA walikuwa sahihi sanaMkuu..kila siku nasema humu kwamba ccm ni kusanyiko la watu wapumbavu.
Mtumiaji utamjua tu anavyojua machaka!Naona umepiga cha Njombe ndiyo ukainga JF
Huna akili we mla panya.Hilo lipo wazi mkuu na TWAWEZA walikuwa sahihi sana
Fala na bwege huyu anasumbuliwa na ubongo uliojaa mavi ya panya.Mtumiaji utamjua tu anavyojua machaka!
Kwahiyo nawe umepiga hiyo hiyo?Mtumiaji utamjua tu anavyojua machaka!
Muda wa kujadili zaidi na zaidi likely sitakuwa nao ila yes, nimesoma na kukuelewa na nakuomba nawe ukarejee nilichoandika. Ni kweli kabisa, umesema maneno mazuri "uhusiano wa marehemu na wafiwa". Wote wanaoshiriki maziko ni wafiwa lakini hawa wafiwa wana classes. Ndio maana wapo wanaeenda kuzika wengine si jamaa zake kabisa lkn kwa namna moja au nyingine ni wafiwa ima directly au indirectly. Ila cha muhimu kila mfiwa ajue nafasi yake na mipaka yake. Catherine akiithibitishia jamii kuwa yeye ni mfiwa wa kundi gani, huenda tungejadili tofauti. Lakini mpaka sasa kilichoelezwa kuwa yeye ni mchepuko/hawara, ambapo hayupo recognized na utaratibu wowote Tanzania. Hazuiwi kumlilia marehemu lakini kwa mipaka ya wafiwa wenye maamuzi kwa marehemu kwa mujibu wa taratibu za kitanzania. Ndio hoja yangu.Nimeongeza kasome tena tujadili.
HITIMISHO:
Uzinzi ni haramu na ni dhambi inayoangamiza pande zote.
IACHWE
Ndoa ni kuvumiliana si kukimbilia michepuko au kumnyima mmeo haki yake au mwanamke kuwa kiburi
Yapo majuto baadae.
Wanawake usifanye tendo la ndoa pasipo Ndoa utaliwa na kuachwa ukidhalilisha UTU wako.
Ndoa ni TAKATIFU
Hebu twende taratibu. Mimi sihalalishi kitendo cha Catherine lakini naomba tuongee uhalisia.Nilidhani wewe unatuletea facts hapa,kumbe unaendeleza blah blah tu.Unataka tusimwamini Dada yake aliyehojiwa na kusema Marehemu hakuwahi toa talaka kwa mkewe wa Ndoa tuje tukuamini wewe ni hadithi yako ya kusoma nae Ilboru?
Kama kweli wewe ni msomi tena wa Ilboru naomba kukuuliza,unajua Ndoa za Kikristo zilivyo? Tangu lini mtu akaoa mke mwingine na huyo mke akawa halali wakati hajawahi toa talaka hata kiserikali kwa mkewe wa Ndoa ya Kanisani? Unatuletea blah blah za kukaa na Kimada ndiyo uhalalishe kuwa alikuwa mkewe? Hata angekaa nae miaka 10,as long as hakuwahi toa talaka kwa Mkewe wa Ndoa ya Kanisani huyo Magige anabaki kuwa Hawara pro Max.
Comment bora sana.Ni majina tu ya kiislamu, mume Omary na mke anaitwa Aziza; hila nadhani wote ni wakristo (not certain about the wife religion though).
Catherine ni public figure lakini ili swala ni private, mke wa marehemu anayo haki ya kutema nyongo na kimada (Catherine) alikuwa na haki ya kumzika mtu aliekuwa akiishi nae.
Kwa mila zetu ni mambo ya kifamilia kwa watu wa nje kufuatilia zaidi ni umbea tu.
Huyo Shaka if anything anatakiwa kuwaonya tu ugomvi wao usiende public tena; but both women have the right to grieve in their own rights.
Na ujue aliyemuoa huyu unayemsifu kaoa mke wa mtu. Single maza ni mke wa baba wa mtoto wa kwanza regardless what.Barikiwa sana Dada kwa kuokoa Ndoa ya Mwanamke mwenzio,naamini sasa unaishi kwa furaha na Amani na Mume wako halali.Kwa busara zako umemwandalia mazingira mazuri sana mtoto wako kwa ndugu zake na Step Mom wake.
... why not? Msiba hauna kadi.Ina maana siku hizi machangudoa wanaruhusiwa kuhudhulia misiba ya wateja wao.......???
😃Reaction yako ni kama ke na kama ni ke; naelewa sentiment zenu katika hili.