CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Wanamchukulia hatua kwani alienda pale kuiwakilisha CCM?

Mimi nilidhani jeshi la polisi ndio lingedeal naye kwa kosa la 'trespassing'

Wapambe wake walikuwa wanashangilia CCM oyeee huku wakiwa wamelewa chakali (jokes)[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata Kanisa linatambua “Separation” but bado hadhi ya Ndoa inabaki pale pale.
HITIMISHO:
Uzinzi ni haramu na ni dhambi inayoangamiza pande zote.
IACHWE

Ndoa ni kuvumiliana si kukimbilia michepuko au kumnyima mmeo haki yake au mwanamke kuwa kiburi
Yapo majuto baadae.

Wanawake usifanye tendo la ndoa pasipo Ndoa utaliwa na kuachwa ukidhalilisha UTU wako.

Ndoa ni TAKATIFU
 
Ina maana siku hizi machangudoa wanaruhusiwa kuhudhulia misiba ya wateja wao.......???
 
Nimeongeza kasome tena tujadili.
Muda wa kujadili zaidi na zaidi likely sitakuwa nao ila yes, nimesoma na kukuelewa na nakuomba nawe ukarejee nilichoandika. Ni kweli kabisa, umesema maneno mazuri "uhusiano wa marehemu na wafiwa". Wote wanaoshiriki maziko ni wafiwa lakini hawa wafiwa wana classes. Ndio maana wapo wanaeenda kuzika wengine si jamaa zake kabisa lkn kwa namna moja au nyingine ni wafiwa ima directly au indirectly. Ila cha muhimu kila mfiwa ajue nafasi yake na mipaka yake. Catherine akiithibitishia jamii kuwa yeye ni mfiwa wa kundi gani, huenda tungejadili tofauti. Lakini mpaka sasa kilichoelezwa kuwa yeye ni mchepuko/hawara, ambapo hayupo recognized na utaratibu wowote Tanzania. Hazuiwi kumlilia marehemu lakini kwa mipaka ya wafiwa wenye maamuzi kwa marehemu kwa mujibu wa taratibu za kitanzania. Ndio hoja yangu.
 
HITIMISHO:
Uzinzi ni haramu na ni dhambi inayoangamiza pande zote.
IACHWE

Ndoa ni kuvumiliana si kukimbilia michepuko au kumnyima mmeo haki yake au mwanamke kuwa kiburi
Yapo majuto baadae.

Wanawake usifanye tendo la ndoa pasipo Ndoa utaliwa na kuachwa ukidhalilisha UTU wako.

Ndoa ni TAKATIFU

Ningeweza kulike hii hata mara 10.Comment of the Day [emoji1666][emoji1666]
 
Nilidhani wewe unatuletea facts hapa,kumbe unaendeleza blah blah tu.Unataka tusimwamini Dada yake aliyehojiwa na kusema Marehemu hakuwahi toa talaka kwa mkewe wa Ndoa tuje tukuamini wewe ni hadithi yako ya kusoma nae Ilboru?

Kama kweli wewe ni msomi tena wa Ilboru naomba kukuuliza,unajua Ndoa za Kikristo zilivyo? Tangu lini mtu akaoa mke mwingine na huyo mke akawa halali wakati hajawahi toa talaka hata kiserikali kwa mkewe wa Ndoa ya Kanisani? Unatuletea blah blah za kukaa na Kimada ndiyo uhalalishe kuwa alikuwa mkewe? Hata angekaa nae miaka 10,as long as hakuwahi toa talaka kwa Mkewe wa Ndoa ya Kanisani huyo Magige anabaki kuwa Hawara pro Max.
Hebu twende taratibu. Mimi sihalalishi kitendo cha Catherine lakini naomba tuongee uhalisia.
Marehemu akitengana na mkewe tangu 2019 na kuhamia Dodoma kwa Mbunge ambako paractically waliishi kama mke na mume japo hakuna ndoa. Walikula pamoja, wakanywa pamoja wakaoga na kisha kulala uchi pamoja wakifanya tendo rasmi. Jamii iliyowazunguka ikaamini hawa ni mke na mume.
Ninachojiuliza, ungekuwa wewe ungeacha kwenda mazikoni?
Binafsi ninachomlaumu Cathy ni kitendo cha kutokuwa mtulivu maana aliopfika msibani na kuona ukoo wa mume uko parallel naye angetulia na kushiriki kimya kimya na kuondoka. Lakini kama ukoo ulifunga geti sababu ya Cathy tu, walitaka kitokee nini?
 
Ni majina tu ya kiislamu, mume Omary na mke anaitwa Aziza; hila nadhani wote ni wakristo (not certain about the wife religion though).

Catherine ni public figure lakini ili swala ni private, mke wa marehemu anayo haki ya kutema nyongo na kimada (Catherine) alikuwa na haki ya kumzika mtu aliekuwa akiishi nae.

Kwa mila zetu ni mambo ya kifamilia kwa watu wa nje kufuatilia zaidi ni umbea tu.

Huyo Shaka if anything anatakiwa kuwaonya tu ugomvi wao usiende public tena; but both women have the right to grieve in their own rights.
Comment bora sana.
 
Barikiwa sana Dada kwa kuokoa Ndoa ya Mwanamke mwenzio,naamini sasa unaishi kwa furaha na Amani na Mume wako halali.Kwa busara zako umemwandalia mazingira mazuri sana mtoto wako kwa ndugu zake na Step Mom wake.
Na ujue aliyemuoa huyu unayemsifu kaoa mke wa mtu. Single maza ni mke wa baba wa mtoto wa kwanza regardless what.
 
Cathy alimuhucumia marehemu kwa mwaka mzima full kipochi manyoya ,huyo Aziza alikuwa anapuyanga kivyake,kwanini Catthy azuiliwe kumzika mchumba ake?
 
Back
Top Bottom