Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumchagua Mbowe ni kuifanya Chadema kuwa kigango cha CCMLabda hii ni katika kumuweka mwamba kwenye ramani?
View attachment 3204678
Kwamba mdahalo kala kona.
Hali ya uwanja haitamaniki.
Kwamba kipi kifanyike?
"Ama kweli rafiki wa kweli ni rafiki kwenye dhiki!"
Wanajua sana wao lengo lao Mbowe awe mwenyekiti ili Chadema idhoofike.Maccm wanamharibia kabisa mwamba pasipo hata kujua.
Maccm wanamharibia kabisa mwamba pasipo hata kujua.
Nani kakudanganya watu wanaangalia future za watoto wao unadhani wakina rizmoko na January na wengineo kama mama anaendelea huoni kama foleni inazidi kuwa kubwa?Uongo na uzushi huu.
Mnateseka sana na propaganda.
Mzee wa Msoga na mama ni chanda na pete, ni marafiki
Amelamba asali
Lissu huyo baada ya tarehe 21.....
Mbowe ndiye anayeweza kuleta balance ya mambo Lissu ni mwanaharakati tu.Labda hii ni katika kumuweka mwamba kwenye ramani?
View attachment 3204678
Kwamba mdahalo kala kona.
Hali ya uwanja haitamaniki.
Kwamba kipi kifanyike?
"Ama kweli rafiki wa kweli ni rafiki kwenye dhiki!"
Mbowe ndiye anayeweza kuleta balance ya mambo Lissu ni mwanaharakati tu.
Basi imekula kwao vibaya, wakaanze upya!View attachment 3204682Ndani ya ccm kuna vita watu wa mama wanaona mbowe wanaweza kwenda nae sawa, wasio mtaka mama ndiyo wanao msapoti Lisu. Mashabiki wa Chadema wanacheza ngoma isiyo yao, Jiulize tu Lisu hakuwa na mpango wa kugombea uenyekiti imekuwaje ghafla kabadilika? Msisahau Lema ni kijana wa mzee wa msoga. Shida yote hii ni mama hatakiwi
Mkayasemee hayo kwenye mdahalo huko:Lissu huyo baada ya tarehe 21.....
hii mbinu ni kuipasuapasua chadema, chadema wasikubali kusambaratishwa, wawe wamoja daima na mbowe akubali kushindwaTangu lini CCM wakampenda mpinzani kiasi hicho wakaweka picha yake bango loteee hivyo. CCM wajanja sana yani wanachochea ili watu wazidi kuparuana
hii mbinu ni kuipasuapasua chadema, chadema wasikubali kusambaratishwa, wawe wamoja daima na mbowe akubali kushindwa
Ww ambayo unataka kufanya miaka 5 ijayo je inahusiana na miaka uliyo faulu au shindwa 21 yrs agoKwangu mimi sina shida sana na PICHA kwa kuwa ni kweli alifika IKULU kuonana na Mh Rais..suala ni atueleze ni nini hicho/hivyo ambavyo atafanya miaka hii mitano(5) ambayo hakuvifanya kwenye miaka 21 iliyopita