Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kama kuna mtu amekutuma kuandika ulichoandika basi ametumwa mpumbavu.Dr. Slaa ni mwanasiasa wa kweli.
Siyo mchumia tumbo kama akina Mbowe, Lissu na wenzao ambao kutwa kucha wapo pale kuangalia masilahi yao binafsi.
Dr. Slaa ana msimamo kwa kile anachokiamini, alifanya siasa za kisayansi siyo hawa wanasiasa wa leo ambao hawajui hata wanataka nini.
He's amongst true patriots and great politicians we have.
Slaa huyu mlishasema hapo lumumba amepata mke wa mtu yaani mushumbusi mpaka leo wapo nae alishamrudisha yule mwanamke? Ukweli wake ni upi?
Slaa huyu mlishamtegea sijui binadamu sauti ili msikie usiku anaongea na nani juu ya ccm mpaka leo ana mkono mbovu umesahau?
Kusema kina mbowe wanatetea maskani yao kwa kuwa chadema huu ni upumbavu wenyewe sasa! Chama hakina ruzuku hizo pesa za kujaza hayo matumbo wanazitoa wapi?
Mrema alifunguliwa kesi 16 pale kisutu na ccm . Alipojiondoa NCCR na kujiunga na TLP/CCM ulishawahi sikia akitukanwa popote?
Acheni unafiki kama magufuli